Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??

Mahaba!?? Na kama ni mahaba kipi alichofanya mpaka kimewakuna hawa wana zengo kumbeba
Ulimbukeni!??
Hahaha, yaani imeniuma ila imebidi nikae nalo pia na mimi.

In short nimeona hata huyo aliyekubali kubebwa ni wa ajabu.
Mmmh!!

Wangefanya kipi ndo kingekuwa sahihi kwenu Watani?

Nionavyo mtuwache Wananchi kwani haya ni ya kwetu. 😎
 
Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??

Mahaba!?? Na kama ni mahaba kipi alichofanya mpaka kimewakuna hawa wana zengo kumbeba
Ulimbukeni!??
Nimerudia kusoma ulichoandika. Lol.

Mtani hapa ni chuki umeweka sasa , sababu kila mmoja ana haki ya kufanya kile ambacho kinamfurahisha sasa huo ulimbukeni tena veeeepeeee.
 
Nimerudia kusoma ulichoandika. Lol.

Mtani hapa ni chuki umeweka sasa , sababu kila mmoja ana haki ya kufanya kile ambacho kinamfurahisha sasa huo ulimbikeni tena veeeepeeee.
Hahahah.
Mtani mie sijaonyesha chuki ila nimeshangazwa kipi kilichosababisha wambebe!??

Labda ulimbukeni Si engineer huyo jamaa[emoji848][emoji23]
 
Naona anakwepa kwepa swali langu.

Ngoja tumpumzishe maana wanayoyafanya wenzake hata yeye anayaonea aibu.
2457158_FB_IMG_15948344390726987.jpg
 
Back
Top Bottom