Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahah.
Mtani mie sijaonyesha chuki ila nimeshangazwa kipi kilichosababisha wambebe!??

Labda ulimbukeni Si engineer huyo jamaa[emoji848][emoji23]
Mwisho wa siku tu niseme hamna kitu ambacho anaeza fanya Yanga na nyie mkasapoti hivyo iishie tu kwenye kile mnachokiamini Mtani kama ni ulimbukeni ama la.
 
Wananchi wa nchi gani Matahira,Mazezeta kiasi hiki??

Huu si utumwa kabisΓ .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…