mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Shadeeya hamna mchezaj humu, mmepigwa
Umeona mkuu, hawa bila makando makando next season cha moto watakiona.Na kujifanya kila anachofanya Yanga hakiko sahihi. [emoji23]
4G ilikuwa na makandokando gani?Umeona mkuu, hawa bila makando makando next season cha moto watakiona.
Naongelea overall not single match..4G ilikuwa na makandokando gani?
We jamaa unasalimiwa na Mzee OnyangoShadeeya hamna mchezaj humu, mmepigwa
Wewe upo mbwinde nini? Yaelekea hata kariakoo huijui[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Mkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Mm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.Wewe upo mbwinde nini? Yaelekea hata kariakoo huijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Kariakoo hata wewe unaijaza ukitaka, wewe nenda pale msimbazi au kongo vua nguo kunya uone, utapata nyomi dakika0
Kariakoo hata ukienda sasa hivi unakuta imejaa,
Yanga alie vaa ngozi ya simba ila nikuhakikishie nyie ambao ni nyara za serekali sis wananchi leo tutawalinda hamtozurika na mtarudi hifadhini salamaMkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leoMkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leo
Yani ukiwa fan wa Chelsea na Yanga unakuwa na uhakika wa kuishi hadi miaka 70+ maana stress kwako zitakuwa ni mwiko.Wewe una bahati mbaya sana kule upo na cheltyako huku na manyani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maumivu kote kote,
Aya mikia FC yanatafutaga kiki kupitia chama la kihistoria Tanzania na duniani kwa ujumla..Naamini ndo itakavyokuwa Mtani. Yaani nitanenepa huu msimu.
Yaani unapigwa goli 4 halafu unasema ni invalid? Au nisome dictionary tena labda!Naongelea overall not single match..
3 games this season
1draw, 1win, 1 ume win so hio 4g yenu tayari ni invalid
Wewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatuYaani unapigwa goli 4 halafu unasema ni invalid? Au nisome dictionary tena labda!
Naongelea overall not single match.. 3 games this season 1draw, 1win, 1 ume win so hio 4g yenu tayari ni invalid
Nataka ufafanuzi wa "invalid" hapo, acha kukwepaWewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatu. Moja tume sare. Moja tumekufunga. Moja umetufunga, ukitaka tuongelee 4g yako tuongelee kwanza na ushindi wetu wa goli 1, usitake kujitapa na goli 4 as if sisi hatukukufunga