Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huenda mafundi Haruna,Feisal na Balama wakaanza kutafuta namba. Hii ndiyo maana ya kikosi kipana[emoji16][emoji120]
IMG-20200821-WA0070.jpg
 
Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
 
Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Wewe upo mbwinde nini? Yaelekea hata kariakoo huijui[emoji23][emoji23][emoji23]

Kariakoo hata wewe unaijaza ukitaka, wewe nenda pale msimbazi au kongo vua nguo kunya uone, utapata nyomi dakika0

Kariakoo hata ukienda sasa hivi unakuta imejaa,
 
Hamna mtu kujaza uwanja pale, Yanga waliijaza kariakoo kwenye mapokez ya wachezaji tena bila promotion wala nn laki n nyie mikia nyuzi kibao utazani mna msiba mnaomba kusaidiwa
Mkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
 
Wewe upo mbwinde nini? Yaelekea hata kariakoo huijui[emoji23][emoji23][emoji23]

Kariakoo hata wewe unaijaza ukitaka, wewe nenda pale msimbazi au kongo vua nguo kunya uone, utapata nyomi dakika0

Kariakoo hata ukienda sasa hivi unakuta imejaa,
Mm kukujibu ww shombo siwez maana una nguvu ya ziada inayo tumika kutoa lugha za kijinga kama hizo na ukitaka uwe mpumbavu dunia ya sasa ni kutunishiana misuli na mpumbavu kama wewe unae bisha ukwel.
 
Mkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
Yanga alie vaa ngozi ya simba ila nikuhakikishie nyie ambao ni nyara za serekali sis wananchi leo tutawalinda hamtozurika na mtarudi hifadhini salama
 
Mkuu mimi pia ni shabiki wa Yanga lakini wale Simba ni Another Level watajaza vile viwanja vyote viwili na pia havitatosha.
Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leo
 
Sidhani kama uhuru utajaa...
Wakiweza basi watakua wametengeneza hela sana
Diamond keshazoea kujaza viwanja kama vile. Kuna show Moja huko West Afrika alijaza kuanzia majukwaani hadi kwenye pitch. So sitoshangaa akijaza tena na leo
 
Wewe una bahati mbaya sana kule upo na cheltyako huku na manyani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maumivu kote kote,
Yani ukiwa fan wa Chelsea na Yanga unakuwa na uhakika wa kuishi hadi miaka 70+ maana stress kwako zitakuwa ni mwiko.

Sawa uwe fan wa Arse8 au mkia fc dah ..utakuwa mtu wa stress maisha yako yote ..yani kutoboa 40 itakuwa ni mtihani kwako.

Kama unataka kuwa na afya njema basi wee njo Chelsea na Yanga ..utakuwa na furaha siku zote

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
#YangaNguvuMoja[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Yaani unapigwa goli 4 halafu unasema ni invalid? Au nisome dictionary tena labda!
Wewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatu
Moja tume sare
Moja tumekufunga
Moja umetufunga, ukitaka tuongelee 4g yako tuongelee kwanza na ushindi wetu wa goli 1, usitake kujitapa na goli 4 as if sisi hatukukufunga
 
Naongelea overall not single match.. 3 games this season 1draw, 1win, 1 ume win so hio 4g yenu tayari ni invalid
Wewe umeziona goli nne ila mechi yetu tuliyokufunga japo ilikua goli moja hujaiona , ndio maana hapo nimeandika tumekutana mara tatu. Moja tume sare. Moja tumekufunga. Moja umetufunga, ukitaka tuongelee 4g yako tuongelee kwanza na ushindi wetu wa goli 1, usitake kujitapa na goli 4 as if sisi hatukukufunga
Nataka ufafanuzi wa "invalid" hapo, acha kukwepa
 
Back
Top Bottom