Cha ajabu hiki wanakiona sahihi. LolUbwana na utwana ndani ya BongoView attachment 1545269
Umejuaje kama hawakulipwa?Manara analipwa kwa kufanya hivyo, ila wale waliombeba injinia hawalipwi.
Kuna tofauti hapo.
Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. LolManara analipwa kwa kufanya hivyo, ila wale waliombeba injinia hawalipwi.
Kuna tofauti hapo.
Habari zenu tunazo .. wale wanafunzi sio watu wazuri kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. Lol
Kiasi gani analipwa kwa kubusu mguu mmoja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nyie bana. Hivyo kisa sisi Makapuku tulioamua kujazana Uwanja wa Uhuru mkatunyima kabisa sauti kwenye big screen yetu. 😂😂😂Shadeeya anatamani kusema kuwa Simba wameifunga 6 timu mbovu, lakini akikumbuka kulifungwa mnara wa 4G humu ndani basi anatulia tu.😜😁
😂😂😂😂 lol.Habari zenu tunazo .. wale wanafunzi sio watu wazuri kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo shida Shadeeya muhimu kile kilichokusudiwa (ushindi mnono) kilipatikana na kila mtu aliondoka na furaha isipokuwa wewe.😜Ila nyie bana. Hivyo kisa sisi Makapuku tulioamua kujazana Uwanja wa Uhuru mkatunyima kabisa sauti kwenye big screen yetu. 😂😂😂
View attachment 1545586
kwann mnaficha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Zikitosha kuandaa makala utanambia basi tujue tunafanyaje. [emoji1787][emoji1787]
Leo ndio mnasema kikubwa ushindi mnajia sana kugeuka. LolSiyo shida Shadeeya muhimu kile kilichokusudiwa (ushindi mnono) kilipatikana na kila mtu aliondoka na furaha isipokuwa wewe.😜
Si ndio nyie mfichue sasa bila kusahau kusema tulikuwa tunagombea kombe gani. 😎😎😎kwann mnaficha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza unakubali umepigwa 3? jibu kwanza halafu tuendelee.😎Si ndio nyie mfichue sasa bila kusahau kusema tulikuwa tunagombea kombe gani. 😎😎😎
Yaani nyie ndo mnaniambia.Kwa unakubali umepigwa 3? jibu kwanza halafu tuendelee.😎
Hahahahaaa. Na media tour za kumwaga lakini wappi.
Walijua kujaza viwanja viwili ni mchezo mchezo kama kumuhonga mchezaji wa timu pinzani ist. [emoji28][emoji28][emoji28]
Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. Lol
Kiasi gani analipwa kwa kubusu mguu mmoja? 🤣🤣🤣
Umejuaje kama hawakulipwa?
Ni mzungu koko Manara akiwa amepiga magoti na kubusu viatu na miguu ya ChamaMunguu!! Hii nini ?? Tafadhali naomba ufafanuzi