Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Manara analipwa kwa kufanya hivyo, ila wale waliombeba injinia hawalipwi.

Kuna tofauti hapo.
Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. Lol

Kiasi gani analipwa kwa kubusu mguu mmoja? 🤣🤣🤣
 
Habari zenu tunazo Jana mmekabidhiwa mnara wa 3G na wanafunzi wa chuo.😁😁😁
 
Duuh!! Hivyo mtu anajidhalilisha namna hii kisa tu analipwa. Lol

Kiasi gani analipwa kwa kubusu mguu mmoja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari zenu tunazo .. wale wanafunzi sio watu wazuri kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shadeeya anatamani kusema kuwa Simba wameifunga 6 timu mbovu, lakini akikumbuka kulifungwa mnara wa 4G humu ndani basi anatulia tu.😜😁
Ila nyie bana. Hivyo kisa sisi Makapuku tulioamua kujazana Uwanja wa Uhuru mkatunyima kabisa sauti kwenye big screen yetu. 😂😂😂
 
Hahahahaaa. Na media tour za kumwaga lakini wappi.

Walijua kujaza viwanja viwili ni mchezo mchezo kama kumuhonga mchezaji wa timu pinzani ist. [emoji28][emoji28][emoji28]

Ha ha haa,hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kuujaza uwanja wa Mkapa,,lakini shida imeanzia kwenye timu waliyoialika,,watu wengi walijua itakuwa mechi ya upande mmoja.Na bila uwepo wa Msanii Diamond jana ingekuwa aibu zaidi[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom