Duuh!! Kumbe one point five bl. lolAliahidi 1.5bl. Kaamua kupotezea
Yule ana ukwasi wa zaid ya Trilion 4, hiyo pesa haiwezi kua kitu kwakeHahahaaa. Sio maskhara Mtani na ndio sababu yule wa 20B hataki hata kusikia hizo habari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa sio kitu kwake angeshaitowaga. Mpaka leo anasubiri nini eti?Yule ana ukwasi wa zaid ya Trilion 4, hiyo pesa haiwezi kua kitu kwake
Tuongelee huyu wa kwetu huyu, hiyo pesa anayo kweli?
Carlos de carmo,midfielder wa vitu muhimu.short pass,long pass master,shots.
Nakumbukaga ahadi yake kipindi kile cha uchaguzi kama sikosei alisema eti kwamba atatoa 1b akipata uwenyekiti cha ajabu mpaka leo kimya.
Au sijui alikuwa anaizungumzia 1b ipi. [emoji23]
Aha nilikuwa sijui asee ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi Wananchi slogan yetu ni
'DaimaMbeleNyumaMwiko'
Ewaaaaa!!! Futa futa Mkuu.Kwa sasa nafuta nyimbo zote za diamond..Harmonize ni msanii wangu bora wa Muda wote ..
#TwendeNaHarmo
#DaimaMbeleMwikoNyuma..
Hahahaaa!! Wameshushuka. lol
Kabisaaaa. Hiyo ndio tafsiri ya timu ya wananchi.Wananchi tuko kaziniView attachment 1547811View attachment 1547812