Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja hukuIngekuwa sio kitu kwake angeshaitowaga. Mpaka leo anasubiri nini eti?
Anayo. [emoji41]
dunia haitokuja isha wajinga kamwe [emoji2][emoji2]Huyu ana afadhali, Mo alisema anatoa 20b kama fedha za kununua sehemu ya hisa za Simba. Mpaka sasa hajatoa chochote, akiulizwa anajifanya hajui Kiswahili anapiga Kihindi tu.
Wewe unapaswa kujifunza kwanza ndio ujue kilichopo siyo ulete umbeumbea wako hapa, Mo alinunua hisa za Simba kwa bil 20, ili awe na share 49%. Pesa hizi alipaswa azilipe cash kwa Simba, ndio baada ya hapo wachangie uendeshaji wa club kadiri ya shares. Sasa pesa za msingi bado hajazitoa wewe unaongea wenge tu.Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku
Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
Wanafeli sana hawa,ilipaswa mpaka sasa Uzi uwe kitaaa watu tushatinga kwenda kumpokea Fundi leoView attachment 1547967
Jezi mpya Yanga kuzinduliwa tarehe 28 mwezi huu
[emoji28][emoji28][emoji41][emoji1474]Lionel messi ni mwananchiView attachment 1548207
Hizo katumia kwa mapenzi yake tuUnatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku
Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
Mambo ni taratibu sheikhWanafeli sana hawa,ilipaswa mpaka sasa Uzi uwe kitaaa watu tushatinga kwenda kumpokea Fundi leo
Safari hii injinia alikuwa macho. LolView attachment 1547940
Watu wasiojulikana.
Hakika mana kalivyopita kwa spidi kali utadhania zile Subaru za mashindano ya magari. πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vichochoroni huko huku kana hema juu juu!
Kumbe. Tuombe uzima ili siku zikitolewa unitag.Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku
Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
Hajajua tu hapa na yeye kaongea kishabiki na si uhalisia wa mambo ulivyokuwa kuhusu hizo 20B.Wewe unapaswa kujifunza kwanza ndio ujue kilichopo siyo ulete umbeumbea wako hapa, Mo alinunua hisa za Simba kwa bil 20, ili awe na share 49%. Pesa hizi alipaswa azilipe cash kwa Simba, ndio baada ya hapo wachangie uendeshaji wa club kadiri ya shares. Sasa pesa za msingi bado hajazitoa wewe unaongea wenge tu.
Kweli kabisa this time wamefeli bana, mana huwezi zindua jezi jumamosi halafu jumapili kuna mechi.Wanafeli sana hawa,ilipaswa mpaka sasa Uzi uwe kitaaa watu tushatinga kwenda kumpokea Fundi leo