Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ingekuwa sio kitu kwake angeshaitowaga. Mpaka leo anasubiri nini eti?

Anayo. [emoji41]
Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku

Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
 
Huyu ana afadhali, Mo alisema anatoa 20b kama fedha za kununua sehemu ya hisa za Simba. Mpaka sasa hajatoa chochote, akiulizwa anajifanya hajui Kiswahili anapiga Kihindi tu.
dunia haitokuja isha wajinga kamwe [emoji2][emoji2]
 
Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku

Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
Wewe unapaswa kujifunza kwanza ndio ujue kilichopo siyo ulete umbeumbea wako hapa, Mo alinunua hisa za Simba kwa bil 20, ili awe na share 49%. Pesa hizi alipaswa azilipe cash kwa Simba, ndio baada ya hapo wachangie uendeshaji wa club kadiri ya shares. Sasa pesa za msingi bado hajazitoa wewe unaongea wenge tu.
 
Lionel messi ni mwananchi
IMG_20200825_233820.jpeg
 
Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja huku

Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa
Hizo katumia kwa mapenzi yake tu
 
Kumbe. Tuombe uzima ili siku zikitolewa unitag.
 
Wewe unapaswa kujifunza kwanza ndio ujue kilichopo siyo ulete umbeumbea wako hapa, Mo alinunua hisa za Simba kwa bil 20, ili awe na share 49%. Pesa hizi alipaswa azilipe cash kwa Simba, ndio baada ya hapo wachangie uendeshaji wa club kadiri ya shares. Sasa pesa za msingi bado hajazitoa wewe unaongea wenge tu.
Hajajua tu hapa na yeye kaongea kishabiki na si uhalisia wa mambo ulivyokuwa kuhusu hizo 20B.
 
Back
Top Bottom