Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Unatoaje wakati mfumo haujakamilika ? log yenyewe wemebadili juz tu, alafu ile pesa haiendi Simba, inaenda nunua hati fungani huko serikalini, faida ndio inakuja hukuIngekuwa sio kitu kwake angeshaitowaga. Mpaka leo anasubiri nini eti?
Anayo. [emoji41]
Wajua keshatumia probably over 10bilion kama hisani ?? watambua Hilo? alafu hapo bado 20 iko pale pale, au hesabu za kujumlisha na kutoa zinashida? yan ame spend over 10 bil alafu unaona 20 bil itakua ngumu kwake? kwasababu za kishabiki pengine nitakuelewa