Vyote kwa pamoja .. How
mfano matokeo ya Simba, hata mpinzani akifunga goli 2 au 3..ni rahisi sana simba ku overturn hilo tokeo na kua 3-2 au 4-3 , hiyo ni added advantage
Pili timu za daraja la kwanza hazina tofaut na timu za chini ligi kuu, so unapokuja kwenye ubora haupo mbali na uhalisia , you are so close na utakachokutana nacho kwenye ligi
Msimu jana nyie hamjafungwa sana, ila mlikua na suluhu kibao, sababu ya kupata suluhu nyingi ilichangizwa na uwezo wa mdogo wa timu yenu kupata magoli mengi, mpinzani akifunga goli 1 tu vs nyie.. na kama kafunga goli 4 .. mnapata sana tabu kuondoka na matokeo, akiwatangulia 2 basi mechi imeisha hiyo, mkijitahd mnasuluhu
Uwezo wa timu kufunga kwa timu zinazowania ubingwa muhimu, huwez zuia wapinzan wote wasipate goli, watakufunga tu... la muhimu ni je, una uwezo wa kubadili matokeo ??