Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Oooh. Sawa.

Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
Umeuliza swali la kiufundi zaidi na hawa ni mbumbumbu mambo ya ufundi yamewakalia kushoto wao wapo kulia
 
Oooh. Sawa.

Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
Vyote kwa pamoja .. How

mfano matokeo ya Simba, hata mpinzani akifunga goli 2 au 3..ni rahisi sana simba ku overturn hilo tokeo na kua 3-2 au 4-3 , hiyo ni added advantage

Pili timu za daraja la kwanza hazina tofaut na timu za chini ligi kuu, so unapokuja kwenye ubora haupo mbali na uhalisia , you are so close na utakachokutana nacho kwenye ligi

Msimu jana nyie hamjafungwa sana, ila mlikua na suluhu kibao, sababu ya kupata suluhu nyingi ilichangizwa na uwezo wa mdogo wa timu yenu kupata magoli mengi, mpinzani akifunga goli 1 tu vs nyie.. na kama kafunga goli 4 .. mnapata sana tabu kuondoka na matokeo, akiwatangulia 2 basi mechi imeisha hiyo, mkijitahd mnasuluhu

Uwezo wa timu kufunga kwa timu zinazowania ubingwa muhimu, huwez zuia wapinzan wote wasipate goli, watakufunga tu... la muhimu ni je, una uwezo wa kubadili matokeo ??
 
Maswali yako yanachoma choma. [emoji23]
Yeye anasema mechi ya juzi ilikua ndio the best performance na wakati wachezaji wamekaa wiki moja tu na ile ilikua ni mechi ya kirafiki wakikaa mwezi itakuaje?

Washaanza kutafuta pa kutokea

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile

The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
 
Vyote kwa pamoja .. How

mfano matokeo ya Simba, hata mpinzani akifunga goli 2 au 3..ni rahisi sana simba ku overturn hilo tokeo na kua 3-2 au 4-3 , hiyo ni added advantage

Pili timu za daraja la kwanza hazina tofaut na timu za chini ligi kuu, so unapokuja kwenye ubora haupo mbali na uhalisia , you are so close na utakachokutana nacho kwenye ligi

Msimu jana nyie hamjafungwa sana, ila mlikua na suluhu kibao, sababu ya kupata suluhu nyingi ilichangizwa na uwezo wa mdogo wa timu yenu kupata magoli mengi, mpinzani akifunga goli 1 tu vs nyie.. na kama kafunga goli 4 .. mnapata sana tabu kuondoka na matokeo, akiwatangulia 2 basi mechi imeisha hiyo, mkijitahd mnasuluhu

Uwezo wa timu kufunga kwa timu zinazowania ubingwa muhimu, huwez zuia wapinzan wote wasipate goli, watakufunga tu... la muhimu ni je, una uwezo wa kubadili matokeo ??
Mtani nimeelewa hiyo vyote kwa pamoja tu ila huko kungine nimetoka kapa mana umeniingiza vichakani. 😂😂😂.
 
Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile

The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
Hizi zako ni dhana Mtani.

Nadhani tusiandike kwa mazoea cha zaidi tusubirie ligi ikishaanza na sio kuhukumu kwamba maandalizi yaliyofanyika juzi hayaezi fanyika tena. Umejuaje?
 
JUMAPILI HATUKUISHIA KWENYE SUTI PEKEE. TEH TEH.
20200901_091315.jpg
 
Back
Top Bottom