Umeuliza swali la kiufundi zaidi na hawa ni mbumbumbu mambo ya ufundi yamewakalia kushoto wao wapo kuliaOooh. Sawa.
Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
Watakwambia ni adobe imefanya kaziWALE MLIOSEA SIJUI NINI NINI HAYA JAMAA HUYO ALISHATUA BASI.
View attachment 1555123
Vyote kwa pamoja .. HowOooh. Sawa.
Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
Maswali yako yanachoma choma. [emoji23]Oooh. Sawa.
Hivi naomba niulize Mtani ubora wa timu unapimwa na timu unayocheza nayo au idadi ya magoli unayofunga Mtani?
Ndio na hapa tunawaonyesha kwamba hatujakurupuka kuvaa suti na raba.Huyu amevaa kama wachezaji Wa Yanga!
Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vileMaswali yako yanachoma choma. [emoji23]
Yeye anasema mechi ya juzi ilikua ndio the best performance na wakati wachezaji wamekaa wiki moja tu na ile ilikua ni mechi ya kirafiki wakikaa mwezi itakuaje?
Washaanza kutafuta pa kutokea
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
πππZe difarensi izi eji
Yeah tulienjoy sana kwakweliNa tulijua kuujaza bana.
Mtani nimeelewa hiyo vyote kwa pamoja tu ila huko kungine nimetoka kapa mana umeniingiza vichakani. πππ.Vyote kwa pamoja .. How
mfano matokeo ya Simba, hata mpinzani akifunga goli 2 au 3..ni rahisi sana simba ku overturn hilo tokeo na kua 3-2 au 4-3 , hiyo ni added advantage
Pili timu za daraja la kwanza hazina tofaut na timu za chini ligi kuu, so unapokuja kwenye ubora haupo mbali na uhalisia , you are so close na utakachokutana nacho kwenye ligi
Msimu jana nyie hamjafungwa sana, ila mlikua na suluhu kibao, sababu ya kupata suluhu nyingi ilichangizwa na uwezo wa mdogo wa timu yenu kupata magoli mengi, mpinzani akifunga goli 1 tu vs nyie.. na kama kafunga goli 4 .. mnapata sana tabu kuondoka na matokeo, akiwatangulia 2 basi mechi imeisha hiyo, mkijitahd mnasuluhu
Uwezo wa timu kufunga kwa timu zinazowania ubingwa muhimu, huwez zuia wapinzan wote wasipate goli, watakufunga tu... la muhimu ni je, una uwezo wa kubadili matokeo ??
Hizi zako ni dhana Mtani.Sio lazima uelewa saivi, hata baadae utaelewa tu, na ww screenshot vile vile
The thing is, sio muda gani wamekaa pamoja, ila je, maandalizi ya michezo yenu yatakua sawa na haya? je, wachezaj watakua na hii performance? ukumbuke, wachezaj wote walienda prove something kwamba wanastahili kuvaa uzi wa Yanga.. so naamn walijitoa 100% .. kinachosikitisha ni aina ya matokeo mliyopata, matokeo hafifu kwenye ubora wenu , mechi nyingine ambayo inaweza kua na haya maandiliz labda ni mechi vs Simba.. tofaut na hapo hakuna
πππππZe difarensi izi eji