Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

The thing is nakukosoa ule siyo ubora wa Yanga futa hiyo kauli kabisa. Bado hujaishuhudia Yanga kwenye ubora wake. Lakini pia wewe unasema ni ushindi hafifu/daifu kulingana na maono yako lakini kwetu ni viceversa ule ulikua ushindi mzuri sana. Hata tungetoka draw isingekua na mantiki kwa sababu siyo mechi ya kutafuta point ilikua ni show off tu so nothing matters.
 
Mtu anayelaani tukio la juzi tu huyo haendagi uwanjani hasa kwenye mechi za yanga na simba. Matukio haya yapo kwa miaka mingi sana kwa pande zote mbili isipokuwa hili limesambaa mitandaoni. N ways tukemee mana si matukio mazuri. Na wasemaji kama Manara wapingwe pia mana yeye hueneza chuki na kueneza utani
 
Asante sana Mzee mwenzangu ni jukumu la babu yangu kutoka Serbia tu. Akiniangusha nitamlamba makofi na Mzee wake na ataondoka mbio mbio hapa
Hahahaha, Wa Serbia huwa hawakosei sana soka la Africa, tena tegemea timu kuwa fit ktk stamina, huku Serbia kule mwambusi ,yule mu Angola msuli utakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nilitoa option ya screenshot, kama unadhan kuna better performance zaid ya hiyo inakuja, sawa..
 
Hizi analysis gani tena? mpira hauna hizi mambo ingekua hivi betting ingekua rahisi sana
 
Umeonaeee!! Tukemee ila ndio wote tubadilike sababu wanavyolaumu utadhania wao ni wasaaafi kumbe hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…