Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ile timu ina point 48.. Vitalo ana point 44..

hakuna timu nyingine hapo katikat yao ..zimepishana point 4 tu

Hiyo timu ilipigwa 5-1 na Gor mahia

nyinyi mmecheza nao WAKIWA PUNGUFU kuanzia dk ya 30, mmepata matokeo hafifu , matokeo dhaifu sana , Utofaut wa Point 4 kati yao na Vitalo hauwez ifanya ikawa bora kuliko Vitalo, mmoja kasuluhu michezo 9 mwingine 8 ..mmoja kapigwa 8 mwingine 10.. ni timu zilizo kwenye daraja moja , uwezo sawa.. the thing is, walilimwa umeme na ukashindwa pata tokeo la maana tena ukiwa kwenye ubora wako, ni matokeo hafifu, dhaifu
The thing is nakukosoa ule siyo ubora wa Yanga futa hiyo kauli kabisa. Bado hujaishuhudia Yanga kwenye ubora wake. Lakini pia wewe unasema ni ushindi hafifu/daifu kulingana na maono yako lakini kwetu ni viceversa ule ulikua ushindi mzuri sana. Hata tungetoka draw isingekua na mantiki kwa sababu siyo mechi ya kutafuta point ilikua ni show off tu so nothing matters.
 
Mtani huwa upo hapa Mjini? Unaendaga Uwanjani hasa mechi za Simba na Yanga? Yana ugeni gani hayo?

Mi ni mmoja wao Mtani na nikwambie tu hiyo haifanyiki Yanga pekee hata huko Simba ipo pia tena inafanyika sana tu, mfano itokee mtu wa Yanga halafu ni mgeni kazunguka Uwanja wee kisha kaja kuibukia upande wa 5imba yaani hapo lazima achezee kichapo na pona pona yake basi watamvua ile tishirt waichane chane hapo ndio anaeza pata salama ya kufika huko anakotaka au akishindwa basi atimue mbio kurudi alikotoka. [emoji23][emoji23]

Niseme tu tunahitaji kubadilika wote na sio Yanga pekee kwani kuna watu wanachukuliaga ukiwa shabiki wa Yanga basi mshabiki wa Simba tayari ni adui yako ambaye hamuezi kaa mkaongea lugha moja jambo ambalo si kweli.
Mtu anayelaani tukio la juzi tu huyo haendagi uwanjani hasa kwenye mechi za yanga na simba. Matukio haya yapo kwa miaka mingi sana kwa pande zote mbili isipokuwa hili limesambaa mitandaoni. N ways tukemee mana si matukio mazuri. Na wasemaji kama Manara wapingwe pia mana yeye hueneza chuki na kueneza utani
 
Asante sana Mzee mwenzangu ni jukumu la babu yangu kutoka Serbia tu. Akiniangusha nitamlamba makofi na Mzee wake na ataondoka mbio mbio hapa
Hahahaha, Wa Serbia huwa hawakosei sana soka la Africa, tena tegemea timu kuwa fit ktk stamina, huku Serbia kule mwambusi ,yule mu Angola msuli utakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The thing is nakukosoa ule siyo ubora wa Yanga futa hiyo kauli kabisa. Bado hujaishuhudia Yanga kwenye ubora wake. Lakini pia wewe unasema ni ushindi hafifu/daifu kulingana na maono yako lakini kwetu ni viceversa ule ulikua ushindi mzuri sana. Hata tungetoka draw isingekua na mantiki kwa sababu siyo mechi ya kutafuta point ilikua ni show off tu so nothing matters.
Ndio maana nilitoa option ya screenshot, kama unadhan kuna better performance zaid ya hiyo inakuja, sawa..
 
Naombea hii iwe kweli!
IMG-20200902-WA0001.jpg
 
Ile timu ina point 48.. Vitalo ana point 44..

hakuna timu nyingine hapo katikat yao ..zimepishana point 4 tu

Hiyo timu ilipigwa 5-1 na Gor mahia

nyinyi mmecheza nao WAKIWA PUNGUFU kuanzia dk ya 30, mmepata matokeo hafifu , matokeo dhaifu sana , Utofaut wa Point 4 kati yao na Vitalo hauwez ifanya ikawa bora kuliko Vitalo, mmoja kasuluhu michezo 9 mwingine 8 ..mmoja kapigwa 8 mwingine 10.. ni timu zilizo kwenye daraja moja , uwezo sawa.. the thing is, walilimwa umeme na ukashindwa pata tokeo la maana tena ukiwa kwenye ubora wako, ni matokeo hafifu, dhaifu
Hizi analysis gani tena? mpira hauna hizi mambo ingekua hivi betting ingekua rahisi sana
 
Mtu anayelaani tukio la juzi tu huyo haendagi uwanjani hasa kwenye mechi za yanga na simba. Matukio haya yapo kwa miaka mingi sana kwa pande zote mbili isipokuwa hili limesambaa mitandaoni. N ways tukemee mana si matukio mazuri. Na wasemaji kama Manara wapingwe pia mana yeye hueneza chuki na kueneza utani
Umeonaeee!! Tukemee ila ndio wote tubadilike sababu wanavyolaumu utadhania wao ni wasaaafi kumbe hamna kitu.
 
Back
Top Bottom