Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Fei Toto kawafanyaje, mmeanza mchapa viboko tena? au ni sehemu ya propaganda mnamtafutia mbwa jina baya mumuue alafu Kalinyo apate namba?
Nani mwenye nafasi ya uongozi ndani ya Yanga kamuongelea vibaya fei? zaidi ya hawa wachambuzi uchwara.
 
Habari ya siku mingi ishapitwa na wakati hii. Habari inaeleza kukataliwa muwekezaji ilihali sisi tupo kwenye mchakato Wa mabadiliko!
 
Hahahaa. Hela wanazo sasa. [emoji41][emoji41]

Wamezoea vijora vya 8000 nane hao jezi ya 35000 wataziweza wapppi. [emoji23][emoji23]

Hawa tuwape kazi ya ukosoaji tu.
Ha ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
 
Sitaki kuamini hili Mtani.
Shida moja kubwa ambayo mashabiki wa yanga hawataki kusikia ukweli
Kwa mchezo waliocheza na prison yanga ilicheza kwa nguvu na hamasa na haikucheza mpira mzuri
Yanga inabidi iachane na mambo ya mwaka jana ya wao kutokea kufungwa na kutafuta sare kila mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…