Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nyie jezi zenu mnaingiza sh ngapi?
 
hahaaaa! hongera zako mtani
 
Naona mkuu unashindwa kubishana kwa hoja,yaani umejaza 'ushabiki maandazi'
Lol!! Unafiki huo veeepeeeee.

Dooh!! Hivi mbumbumbu , Manyani , Ubwa vinafanana? [emoji15]
Nasubiri jibu ,La hili swali
Mauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,

Ukipiga hesabu nyie mmepata mil 10,400,000.. Milion 10 na laki 4 Tu

Tu assume labda, kwa hesabu za kufikirika (haziwezekani ila anyway tu assume tu) tu assume mauzo yatabak juu hivyo hivyo kila mwez.. that means kwa mwaka msimu au tuseme mwaka mtakua na 10,400,000x12=124,800,000

Tukumbuke wakati mnauza hizo jez 8000, kulikua na matangazo kibao na maandiliz kem kem ya mauzo hayo, ambayo sitegemei yarudiwe tena, so kwa kifupi tu ni kwamba hata mil 80 hamtopata
 
Mwenyekiti wa klabu yetu Dr. Mshindo Msolla, leo amezindua Tawi jipya la Mazimbu Morogoro, pia aliambatana na viongozi mbalimbali wa klabu yetu pamoja na wanachama na mashabiki wa tawi hilo.​

"DaimaMbeleNyumaMwiko"


@Yangasc​
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…