Hahahahaa. Haya.Mkeka wangu hauchanikagi hata siku mija
Hata wakala wa uhlsport hamjui,angemjua ni nani asingeleta kelele za khs jezi za mikiaNasubiri jibu ,La hili swali
Mkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?Simba ana mkataba, nadhani lishajibiwa huko juu, halipwi kama yanga
Ndio namuuliza Simba inamkataba na uhlsport au na kassim dewji ? anajua kilichomo ktk huo mkataba ?Hata wakala wa uhlsport hamjui,angemjua ni nani asingeleta kelele za khs jezi za mikia
Simba analipwa m300 kwa mwaka na Uhlsport pamoja na kupewa vifaa vyote vinavyohitajika na timu kwa ajili ya mechi na mazoezi kama vile jezi mipira sare za mazoezi sare za benchi la ufundi na sare za kambiniMkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?
Mbona unakua kiaz sana mzee.. how many times nimeandika mkataba una mil 300 kwa mwaka na adds-on hadi mil 500??Mkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?
Hapa ni wazi mpira umepata Kofi la maana!
Umeona taifa panavyotumika Ntani.. mechi 2 goli 7Hahahahaa. Haya.