Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200926_192818.jpg
 
Mkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?
Simba analipwa m300 kwa mwaka na Uhlsport pamoja na kupewa vifaa vyote vinavyohitajika na timu kwa ajili ya mechi na mazoezi kama vile jezi mipira sare za mazoezi sare za benchi la ufundi na sare za kambini
 
Mkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?
Mbona unakua kiaz sana mzee.. how many times nimeandika mkataba una mil 300 kwa mwaka na adds-on hadi mil 500??

nimeandika Zaid ya mara tano humu ndani leo, au ulikua umefariki?
 
Back
Top Bottom