Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hawa mikia wameona kututukana na kutudhalilisha kwa mropokaji wao wa timu haitoshi, wameamua kuja kuleta ukhanithi wao na ufirauni kwenye mechi zetu. .... Nasemaje Mnachokitafuta mtakipata. Mtapigwa , tukiona haimbadiliki tutaanza Kuwafira kabisa wajinga ninyi
 
Ujue inachekesha sana huyo huyo ropo ropo aliyechochea kuni mbio eti anapendekeza tucheze bila mashabiki si ajabu hiyo?
 
Na pale Yanga walikuwa wakicheza na Mtibwa. Nashangaa simba kudai mashabiki zao kupigwa. Kwani Yanga walikuwa wakicheza na simba?
 
Mmesahau kubwa Manara amemtukana sana a kumdhalilisha morison kabla hajaenda Mikia??
 
Sasa hivi ukimquote mtu wa utopolo, ndala, yeboyebo, mbwa, nyani, usisahau emoji hizi[emoji2187][emoji2187][emoji119][emoji120][emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2222] la sivyo utachezea vitasa mpaka ufe, dawa ni kuyatania alafu unatoka nduki.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambwa hayooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…