Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

18-10-2020 Yanga tutafungwa 3 na Simba.
Hili nimeliona maana tumezoea ndumba zaidi ya mazoezi, alafu wachezaji wetu wengi, hasa wenye wake zao "wanapiga puli"
 
Ndio hapo sasa ingekuwa mechi nao hapo sawa sasa mechi hata haiwahusu hivyo ni viherehere tu ndo vimewaponza sababu kama kupigwa wangepigwa mashabiki wa Mtibwa.
Siwatukani, na wala sio lengo langu,

Iĺa HAMNA AKILI TIMAMU,

kwahiyo nyinyi mlivyokuwa mnajazana 3kwa mkapa kushabikia vita sc, nkana, al ahly, ud songo, js soura n. k mlikuwa mnastahili vipigo? uwezo wa uwanjani hamna mnapiga watu ngumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Lucy Eımer alikuwa sahihi sana[emoji736][emoji3581]

Mbwa na mpira wapi na wapi?


Nyani hamjui soka,
Mashabiki wa Everton wanaenda kuangalia game za Liverpool na hawapigwi, na wanawakera balaa,

Nyăni lake poli,
Chura
Sufuria
Yeboyebo
UTOPOLO

[emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
18-10-2020 Yanga tutafungwa 3 na Simba.
Hili nimeliona maana tumezoea ndumba zaidi ya mazoezi, alafu wachezaji wetu wengi, hasa wenye wake zao "wanapiga puli"
Mkuu acha ujeuri, mbona umesahau kuweka emoji zap mbio? Utapgwa mpaka uchakaae[emoji2088][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

[emoji2088][emoji2088]
 
Timu ya KMKM SC imeshawasili tayari kwa mchezo wa kirafiki leo Saa 1 usiku uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Kwa kiingilio cha 5,000 mzunguko na 10,000 VIP. Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuyaWananchi

@Yangasc
 
Ila sasa hivi kawa kama picha tu hamna anayemzungumzia yani umaarufu aliupata kwa Wananchi tu.
Inamaana huoni assist anazofanya Shadeeya? Ushahidi wa hilo ni jinsi anavyopata nafasi ya kuanza kwenye 1st Eleven kwenye kikosi cha ushindani kilichosheheni mafundi wa mpira haswaa
 
Shadeeya, kuanzia leo mimi kama Lunyasi lialia, timu tishio kabisa ukanda huu wa Afrika, nikiwa na akili zangu timamu na bila kulazimishwa na mtu yeyote naahidi kuacha kukukera hadi tarehe 18. 10.2020 itakapopita😀😀😀🤪🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…