Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hapo ulishawaza akili zake zinavyofyatukaga. 🤣🤣🤣Dah! Afadhali pressure imeshuka sasa maana nilishawaza mbaali sana🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ulishawaza akili zake zinavyofyatukaga. 🤣🤣🤣Dah! Afadhali pressure imeshuka sasa maana nilishawaza mbaali sana🤣🤣🤣
Yaani wee acha tu🤣🤣🤣Hapo ulishawaza akili zake zinavyofyatukaga. 🤣🤣🤣
Ila sasa hivi kawa kama picha tu hamna anayemzungumzia yani umaarufu aliupata kwa Wananchi tu.Yaani wee acha tu🤣🤣🤣
Siwatukani, na wala sio lengo langu,Ndio hapo sasa ingekuwa mechi nao hapo sawa sasa mechi hata haiwahusu hivyo ni viherehere tu ndo vimewaponza sababu kama kupigwa wangepigwa mashabiki wa Mtibwa.
Mkuu acha ujeuri, mbona umesahau kuweka emoji zap mbio? Utapgwa mpaka uchakaae[emoji2088][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2089][emoji2089][emoji2089]18-10-2020 Yanga tutafungwa 3 na Simba.
Hili nimeliona maana tumezoea ndumba zaidi ya mazoezi, alafu wachezaji wetu wengi, hasa wenye wake zao "wanapiga puli"
sina mwananguMkuu acha ujeuri, mbona umesahau kuweka emoji zap mbio? Utapgwa mpaka uchakaae[emoji2088][emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji2088][emoji2088]
Inamaana huoni assist anazofanya Shadeeya? Ushahidi wa hilo ni jinsi anavyopata nafasi ya kuanza kwenye 1st Eleven kwenye kikosi cha ushindani kilichosheheni mafundi wa mpira haswaaIla sasa hivi kawa kama picha tu hamna anayemzungumzia yani umaarufu aliupata kwa Wananchi tu.
Yaani unaniingiza chaka utadhania siangaliagi mpira. LolInamaana huoni assist anazofanya Shadeeya? Ushahidi wa hilo ni jinsi anavyopata nafasi ya kuanza kwenye 1st Eleven kwenye kikosi cha ushindani kilichosheheni mafundi wa mpira haswaa
Basi unaangalia mechi za timu yako tu🤣🤣🤣Yaani unaniingiza chaka utadhania siangaliagi mpira. Lol
Siku zako za majonzi zinakaribia.Yaani unaniingiza chaka utadhania siangaliagi mpira. Lol
🤣🤣🤣 Shida ni pale itakapokuwa Vice versa.Siku zako za majonzi zinakaribia.
Mkuu, ni dhambi kumkosesha raha binadamu mwenzio maana maneno hayo yatamfanya akose raha kabisa hadi tarehe 18 ipite🤣🤣🤣Siku zako za majonzi zinakaribia.
😀😀Basi unaangalia mechi za timu yako tu🤣🤣🤣
Sijafikia huko Ses. Na nikwambie tu hiyo tarehe 18 itakuwa tiketi ya nyie kukosa mabando ya kuingilia jf mana hatutawaona.Mkuu, ni dhambi kumkosesha raha binadamu mwenzio maana maneno hayo yatamfanya akose raha kabisa hadi tarehe 18 ipite🤣🤣🤣
Shadeeya, kuanzia leo mimi kama Lunyasi lialia, timu tishio kabisa ukanda huu wa Afrika, nikiwa na akili zangu timamu na bila kulazimishwa na mtu yeyote naahidi kuacha kukukera hadi tarehe 18. 10.2020 itakapopita😀😀😀🤪🤪🤪
Maneno yangu ni yaleyaleee ya siku zote mamii, "Tuombe Uzima". Panapo majaaliwa masiku hayo si mengiSijafikia huko Ses. Na nikwambie tu hiyo tarehe 18 itakuwa tiketi ya nyie kukosa mabando ya kuingilia jf mana hatutawaona.
Mambo vipi Shadeeya?Timu ya KMKM SC imeshawasili tayari kwa mchezo wa kirafiki leo Saa 1 usiku uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Kwa kiingilio cha 5,000 mzunguko na 10,000 VIP. Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuyaWananchi
@Yangasc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijafikia huko Ses. Na nikwambie tu hiyo tarehe 18 itakuwa tiketi ya nyie kukosa mabando ya kuingilia jf mana hatutawaona.