Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nakusubiri kwa hamu siku hiyo maana nimeshatoa na oda kabisa ya dawa za pressure kwa ajili yako pale zile pasi za sambusa, kachori, vileje, vibibi na kababu zitakapokua zinapigwa golini kwakoHahahahaa. Siku hiyo ntakuja huko Duniani na tutaangalia wote ili tu nione vile huezi kaa kwenye kiti. 😀😀😀.
Najiamini atiii.
Kushinda 3 si justification kwamba ni mzuri,tunataka timu iwe inashinda kwa uhakika siyo kama inabahatisha. Ni kweli amekaa muda mfupi ila tulitegemea kwa mwezi alokaa basi tuanze kuona mwelekeo Wa timu kiuchezaji na utengenezaji nafasi. Hilo halijaonekana na haieleweki mwalimu ana falsafa ganiMkuu kocha magumashi wakati kampiga mtu thalathaa? Au mnataka kuhalalisha ujio wa Kaze Cedric? Mleteni tu bila kumchafulia jina Mzungu wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Shadeeya
Seriously! Siku 37 unategemea mabadiliko!!! Siamini. Huo ni ugonjwa wa viongozi na washabiki wa vilabu vya Bongo. Hata Simba eti kuna wakati walitaka kuachana na Kocha Sven kwamba hajabadiliasha uchezaji wa timu pamoja na Simba kutwaa ubingwa. Sasa hivi hawataki kusikia Sven anaondokaKushinda 3 si justification kwamba ni mzuri,tunataka timu iwe inashinda kwa uhakika siyo kama inabahatisha. Ni kweli amekaa muda mfupi ila tulitegemea kwa mwezi alokaa basi tuanze kuona mwelekeo Wa timu kiuchezaji na utengenezaji nafasi. Hilo halijaonekana na haieleweki mwalimu ana falsafa gani
Nimesema kwa siku alizokaa tulipaswa kuwa tayari kuna dalili Fulani zinaonekana kiuchezaji na mwelekeo Wa kutengeneza nafasi. Sijasema alipaswa awe ameshaibadili timu. Just hata viashiria tu kwamba timu inaanza kuwa na sura Fulani nzuri,sasa hadi sasa timu ndio kwanza inazidi kuwa ya ajabu na kocha haeleweki anataka nini mana huwezi tofautisha mechi ya kirafiki na ya ligi kiuchezaji. Kila mechi ana panga viungo wakabaji wawili na mmoja we kusoften pasipo kujali timu anayocheza nayo na mazingira anayochezea. Anamuweka benchi mtu kama haruna, hivi farid Mussa hafai kiasi hicho hadi asiwe anawekwa hata benchi!?Seriously! Siku 37 unategemea mabadiliko!!! Siamini. Huo ni ugonjwa wa viongozi na washabiki wa vilabu vya Bongo. Hata Simba eti kuna wakati walitaka kuachana na Kocha Sven kwamba hajabadiliasha uchezaji wa timu pamoja na Simba kutwaa ubingwa. Sasa hivi hawataki kusikia Sven anaondoka
Chanzo changu kimoja kinadai anakuja Kaze yule aliyasema anatatizo la kifamilia na ndiye aliyempendekeza Mwambusi na Kocha wa Magolikipa mrundi mwenzakeTusubiri tuone japo uongozi unazingua saa ingine.
Kama ni hivyo basi alipaswa awe ameshafika au tumeshatangaziwa atafika lini mana yeye maongezi yalishafanywa kitambo kabla ya kukwama dk za mwisho. Sasa cha ajabu wiki yote itaisha mwalimu hajafikaChanzo changu kimoja kinadai anakuja Kaze yule aliyasema anatatizo la kifamilia na ndiye aliyempendekeza Mwambusi na Kocha wa Magolikipa mrundi mwenzake
Kwani ukimuuliza leo Sven aliagiza Morrison asajiliwe wakati ana Kahata benchi, Ajibu benchi atakujibu nini???? Ifike muda tumia akili badala ya makamasi. Wachezaji waliopo ni bora sana tu. Sio kila mchezaji lazima apendekezwe na kocha..... Zahera alisajili akina Sadney, Sibomana, Bigirimana walifanya nini??.?WACHEZAJI mlisajili wakati kocha hajaja leo kocha kaja anajitahidi timu inapata matokeo mazuri mnamfukuza.
"HII LAANA ITAWAANDAMA MILELE"
Na mumlipe stahiki zake
Whaaat! Zahera!!? Mpelekeni mikianiPlease Viongozi, tuleteeni Lwandamina. Mkishindwa kabisa leteni tu Zahera. Hatuna chakupoteza maana hatushiriki kimataifa
GSM na GSMWe jamaa haujui mpira GSM ana huska nini hapo, mbona huongeli sportpesa au team zinazo vaa Fly Emirates hua zina achiana game?
Ni hakika hata huyo ajae hatodumuKushinda 3 si justification kwamba ni mzuri,tunataka timu iwe inashinda kwa uhakika siyo kama inabahatisha. Ni kweli amekaa muda mfupi ila tulitegemea kwa mwezi alokaa basi tuanze kuona mwelekeo Wa timu kiuchezaji na utengenezaji nafasi. Hilo halijaonekana na haieleweki mwalimu ana falsafa gani