Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahahaa. Siku hiyo ntakuja huko Duniani na tutaangalia wote ili tu nione vile huezi kaa kwenye kiti. 😀😀😀.

Najiamini atiii.
Nakusubiri kwa hamu siku hiyo maana nimeshatoa na oda kabisa ya dawa za pressure kwa ajili yako pale zile pasi za sambusa, kachori, vileje, vibibi na kababu zitakapokua zinapigwa golini kwako

Tena maskini Mwambusi yeye ndio mmemuona wa kumtoa kafara ya lawama! Si ndio atakuwepo siku hiyo? Hata Kaze akiwepo mtashia kusema ," Kocha msaidizi kampotosha"
 
20201005_111622.jpg
 
Mkuu kocha magumashi wakati kampiga mtu thalathaa? Au mnataka kuhalalisha ujio wa Kaze Cedric? Mleteni tu bila kumchafulia jina Mzungu wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc Shadeeya
Kushinda 3 si justification kwamba ni mzuri,tunataka timu iwe inashinda kwa uhakika siyo kama inabahatisha. Ni kweli amekaa muda mfupi ila tulitegemea kwa mwezi alokaa basi tuanze kuona mwelekeo Wa timu kiuchezaji na utengenezaji nafasi. Hilo halijaonekana na haieleweki mwalimu ana falsafa gani
 
Seriously! Siku 37 unategemea mabadiliko!!! Siamini. Huo ni ugonjwa wa viongozi na washabiki wa vilabu vya Bongo. Hata Simba eti kuna wakati walitaka kuachana na Kocha Sven kwamba hajabadiliasha uchezaji wa timu pamoja na Simba kutwaa ubingwa. Sasa hivi hawataki kusikia Sven anaondoka
 
Nimesema kwa siku alizokaa tulipaswa kuwa tayari kuna dalili Fulani zinaonekana kiuchezaji na mwelekeo Wa kutengeneza nafasi. Sijasema alipaswa awe ameshaibadili timu. Just hata viashiria tu kwamba timu inaanza kuwa na sura Fulani nzuri,sasa hadi sasa timu ndio kwanza inazidi kuwa ya ajabu na kocha haeleweki anataka nini mana huwezi tofautisha mechi ya kirafiki na ya ligi kiuchezaji. Kila mechi ana panga viungo wakabaji wawili na mmoja we kusoften pasipo kujali timu anayocheza nayo na mazingira anayochezea. Anamuweka benchi mtu kama haruna, hivi farid Mussa hafai kiasi hicho hadi asiwe anawekwa hata benchi!?
 
Chanzo changu kimoja kinadai anakuja Kaze yule aliyasema anatatizo la kifamilia na ndiye aliyempendekeza Mwambusi na Kocha wa Magolikipa mrundi mwenzake
Kama ni hivyo basi alipaswa awe ameshafika au tumeshatangaziwa atafika lini mana yeye maongezi yalishafanywa kitambo kabla ya kukwama dk za mwisho. Sasa cha ajabu wiki yote itaisha mwalimu hajafika
 
WACHEZAJI mlisajili wakati kocha hajaja leo kocha kaja anajitahidi timu inapata matokeo mazuri mnamfukuza.
"HII LAANA ITAWAANDAMA MILELE"
Na mumlipe stahiki zake
Kwani ukimuuliza leo Sven aliagiza Morrison asajiliwe wakati ana Kahata benchi, Ajibu benchi atakujibu nini???? Ifike muda tumia akili badala ya makamasi. Wachezaji waliopo ni bora sana tu. Sio kila mchezaji lazima apendekezwe na kocha..... Zahera alisajili akina Sadney, Sibomana, Bigirimana walifanya nini??.?
 
Kushinda 3 si justification kwamba ni mzuri,tunataka timu iwe inashinda kwa uhakika siyo kama inabahatisha. Ni kweli amekaa muda mfupi ila tulitegemea kwa mwezi alokaa basi tuanze kuona mwelekeo Wa timu kiuchezaji na utengenezaji nafasi. Hilo halijaonekana na haieleweki mwalimu ana falsafa gani
Ni hakika hata huyo ajae hatodumu

Yanga mmewah kua na falsa ya kuweka mpira chini kweli?? hamna identity yenu uwanjani, na endapo mtataka kua nayo haiji hvi hivi tu, tengenezen timu kwanza, tafuta watu wa kuweza kukupa hiyo identity, Mna Haruna pekee probably na Tonombe, ndio wenye vitu hvyo, ongezen aina hiyo ya wachezaj na maeneo mengine, hivi hiv ni uongo
 
Back
Top Bottom