Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Yap mimi mzima kabisa kama chuma cha reli,hofu kwako Mwananchi.Umzima lakini Mtani?
Eti mzima kama chuma cha reli lol haya ni jambo jema hilo. Mie sijambo pia Mtani. Nipo.Yap mimi mzima kabisa kama chuma cha reli,hofu kwako Mwananchi.
Ha ha ha eeh asee boxer. Kweli na mahadhi nduguHahahaha nani huyo boxer ? Yanga wachezaji wamazoezi yuko boxer na mahadhi
Ha ha ha ha inawezekana kilio cha mtoto kimesikika aseeTukisemaga Tiefuefu yakwao wanakataa.
Juzi tu ropo ropo wao alisema tarehe zinazoangukia na nane hizo ni lazima wapate kichapo sasa huenda Baba alisikia ndio maana akaamua kufanya waliyoyafanya.
Hivi vikina Mzee chama!? Hadi sasa timu ngumu mliyokutana nayo ni Mtibwa tu nayo mkatoka nayo drooHahahahahahahahah Yanga hii wachezaji wanacheza mpira kama miguu imejaa funza ndio imfunge Simba.
Na sijui huwa wanatumia sheria ya manunuzi ya mwaka gani!Kwa manunuzi, kwani hujui? Au umesahau
Amen! Naamini tutaanza kuona sura tofauti kidogo kiuchezaji na ile ya awali.View attachment 1594069Kesho ijumaa tutacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia Saa 1:00 usiku.
Kwa kiingilio cha 3,000 mzunguko na 5,000 VIP. Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi
@Yangasc
Kwenye mechi za kirafiki tukifurahi hata bure utamuona.Kwani siku hizi kumuona MUKOKO ni buku 3 tu?
Kwenye mechi za kirafiki tukifurahi hata bure utamuona.Kwani siku hizi kumuona MUKOKO ni buku 3 tu?
Hahaa ina maana umesahau kabisa?Eti mzima kama chuma cha reli lol haya ni jambo jema hilo. Mie sijambo pia Mtani. Nipo.
Japo nina hasira mnoo hao baba zenu tiefuefu walivyosogeza tarehe ya derby mbele mana tulitaka mtueleze zile bao nne za FA Cup mlizipataje pataje 😎
Ni jambo zuri Mkuu.Kwenye mechi za kirafiki tukifurahi hata bure utamuona.
Walikisikia wakaona kwa nini aje kulia bure bora tu wazuge na uongo uongo walau kuwatafutia ahueni.Ha ha ha ha inawezekana kilio cha mtoto kimesikika asee
Hata na mie nimewaza hivyo japo nafikiri umakini unahitajika kwani si ajabu kukuta mungine ndo anakivuruga kabisa.Amen! Naamini tutaanza kuona sura tofauti kidogo kiuchezaji na ile ya awali.
Nakazia.Kwenye mechi za kirafiki tukifurahi hata bure utamuona.
Nikumbushe hebu Mtani. 😎Hahaa ina maana umesahau kabisa?
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake Shadeeya. Nyie pigeni hizo hesabu zenu za kujumlisha na kugawanya sijui MAGAZIJUTO, lakini kichapo kinawasubiri tu. Tarehe yoyote, uwanja wowote, muda wowote mtapokutana na Wafalme wa Mwituni mnachezea, tukiwakosa sana viwili lazima visome😂🤪🤣Walikisikia wakaona kwa nini aje kulia bure bora tu wazuge na uongo uongo walau kuwatafutia ahueni.
Wakasahau kwamba 11+7= 18 pia. 😂😂😂😂
Amu weitingi Ses. Usije kimbia tu.Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake Shadeeya. Nyie pigeni hizo hesabu zenu za kujumlisha na kugawanya sijui MAGAZIJUTO, lakini kichapo kinawasubiri tu. Tarehe yoyote, uwanja wowote, muda wowote mtapokutana na Wafalme wa Mwituni mnachezea, tukiwakosa sana viwili lazima visome😂🤪🤣
Tulipinga kwa ajili ya October 18, sasa unaonaje uje tupinge kwa ajili ya November 7? Na nilikwambia pia mkeka wangu hua hauchaniki🤪🤪🤪😂Amu weitingi Ses. Usije kimbia tu.