Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mpuuzi sana kocha huyu...nimemchukia sanaYes tuna big game mbele yetu ila binafsi kocha sijamuelewa,kuweka watu ambao hawajacheza pamoja muda mrefu ni kututafutia matusi tusipopata ushindi......weka full mziki chukua points 3 songa mbele......
Kocha mnamuonea tu bure, wachezaji wote wamesajiliwa kuichezea Yanga. Na isitoshe nafasi za wazi zimetengenezwa na zimeshindwa kutumika kiufasaha. Mastraika kumalizia mpira bado ni tatizoShadeeya huyu kocha nadhani anatamani kutukanwa kimtindo ili akaribishwe Tz...........
😄😄😄😄😄😃 Kesho Gap la point linabaki 4,Then I Jumamosi inabaki Point 1.Mpuuzi sana kocha huyu...nimemchukia sana
Zile nafasi zilizotengenezwa halafu zikashindwa kutumika, mnahitaji kocha ndio aingie kufunga? Uwezi jua hata kingewekwa kikosi cha siku zote pengine sare ingekuwepo vile vile ukizingatia ya kwamba Gwambina ni wazuri kwa kupaki basi. Simba walifanikiwa kupata magoli kwa mipira ya kona, na faulo Na kmc hivyo hivyo, Yanga imecheza mechi karibia nyingi kapata vigoli vimoja vimoja tu tena kwa dakika za jioni kabisaMpuuzi sana kocha huyu...nimemchukia sana
Ligi bado ndefu sana..ila huu ujinga wakukamia game moja kwasababu ni simba mimi sijaawahi kuulewa kabisa...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2] Kesho Gap la point linabaki 4,Then I Jumamosi inabaki Point 1.
Mashabiki tunajifanya tunajua kuliko kocha na kukalili wachezaji lakini ukiuliza madhaifa ya kikosi cha leo kilikuwa ni maeneo yapi zaidi ya matatizo ya kila siku? Nafasi zinatengenezwa lakini uwezo wa kutumia nafasi hakuna. Na ndio tatizo la Yanga hii tokea mechi ya kwanza ya ligi ni shida hilo hilo la umaliziaji wa mpira. Yanga hamna mfunia nyavu wa maana, utulivu hawana mafowadi. Laiti kama zile nafasi zilizopatikana zingetendewa kazi, hakuna mtu angetoa lawama kwa kocha. ila yote kwa yote pamoja ni kwamba wachezaji wengi walikuwa ni wa kikosi B lakini wamecheza vizuri sana. Kocha mzuri sio kujua mbinu, na ufundi tu bali na pamoja na kuwatengeneza mwachezaji. Makame, Adeyuni,Boxer,makapu,Nchimbi n.k tuliona kama hawastaili hata kuvaa jezi ya Yanga lakini sasa unaona wanaelekezwa wanabadilika. Credit kwa kochaZile nafasi zilizotengenezwa halafu zikashindwa kutumika, mnahitaji kocha ndio aingie kufunga? Uwezi jua hata kingewekwa kikosi cha siku zote pengine sare ingekuwepo vile vile ukizingatia ya kwamba Gwambina ni wazuri kwa kupaki basi. Simba walifanikiwa kupata magoli kwa mipira ya kona, na faulo Na kmc hivyo hivyo, Yanga imecheza mechi karibia nyingi kapata vigoli vimoja vimoja tu tena kwa dakika za jioni kabisa
Binafsi nampongeza kocha kwa kuweza kuwabadilisha wachezaji waliokuwa wanaonekana wabovu na hawafai kuvaa jezi ya Yanga, wanaingia uwanjani nakuonesha performance nzuri hili ndio linaleta dhana fasaha kabisa ya kuwa na kikosi kipana.
Yaani badala ya kupambana kupata points analeta utani,soon atawajua mashabiki wa bongo........Mpuuzi sana kocha huyu...nimemchukia sana
Timu inayopata matokeo huwezi kubadilisha asilimia 75,yes makocha wanajua zaidi ila lazima wakosolewe siyo dhambi,Makame ameisaidia nn timu na miback pass yake? Boxer hakuwa na match fitness.....makapu na Ninja tukishambuliwa shida tupuMashabiki tunajifanya tunajua kuliko kocha na kukalili wachezaji lakini ukiuliza madhaifa ya kikosi cha leo kilikuwa ni maeneo yapi zaidi ya matatizo ya kila siku? Nafasi zinatengenezwa lakini uwezo wa kutumia nafasi hakuna. Na ndio tatizo la Yanga hii tokea mechi ya kwanza ya ligi ni shida hilo hilo la umaliziaji wa mpira. Yanga hamna mfunia nyavu wa maana, utulivu hawana mafowadi. Laiti kama zile nafasi zilizopatikana zingetendewa kazi, hakuna mtu angetoa lawama kwa kocha. ila yote kwa yote pamoja ni kwamba wachezaji wengi walikuwa ni wa kikosi B lakini wamecheza vizuri sana. Kocha mzuri sio kujua mbinu, na ufundi tu bali na pamoja na kuwatengeneza mwachezaji. Makame, Adeyuni,Boxer,makapu,Nchimbi n.k tuliona kama hawastaili hata kuvaa jezi ya Yanga lakini sasa unaona wanaelekezwa wanabadilika. Credit kwa kocha
Winning timu huwa haibadilishwi yote hasa kwa kocha mgeni,hakuna anayebisha hao kucheza ila huwezi kuleta kundi zima waingie taratibu angalau .........points za leo zilikuwa muhimuKocha mnamuonea tu bure, wachezaji wote wamesajiliwa kuichezea Yanga. Na isitoshe nafasi za wazi zimetengenezwa na zimeshindwa kutumika kiufasaha. Mastraika kumalizia mpira bado ni tatizo
Dooh!!Kila la kheri timu yangu ya utotoni Gwambina fc hapo kesho.
Mi mwenyewe alinichosha sababu hiyo game anayoikamia si ajabu tukaambulia point moja.Yes tuna big game mbele yetu ila binafsi kocha sijamuelewa,kuweka watu ambao hawajacheza pamoja muda mrefu ni kututafutia matusi tusipopata ushindi......weka full mziki chukua points 3 songa mbele......
😀😀😀 na tusivyojua kuvumilia sasa. 😀😀Yaani badala ya kupambana kupata points analeta utani,soon atawajua mashabiki wa bongo........