Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Usiseme hauko upo,

Umepima maji umeyaona yana kina kirefu sio rafiki kwako.
Hahahahaaa. Nilijua tu na ndio sababu sikuwa nataka kuandika hii sentensi najua lazima mtasema nimeogopa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hamna kitu kama hicho banaa. Mie mechi zote naendaga hadi ya nne nilikuwepo mbona Mtani.
 
Sina Hakika Na Hili Japo Kiroho Kinadunda Acha Tu.

Ila Nisijimalize.
Hii game ya leo bana inapresha kwa kila mtu Mtani hata sijui kwa nini inakuwaga hivi yaani si kwa anayekwenda Uwanjani hadi kwa aliyeko nyumbani anakuwa na presha vivyo hivyo. πŸ˜‚πŸ˜‚

Mida hii nakuwaga nimelala ila leo usingizi umekata eti. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mawazo yote yanawaza saa kumi na moja lol.
 
LIVE MUDA HUU: TAZAMA KINACHOENDELEA MUDA HUU UWANJA WA MKAPA MECHI YA YANGA VS SIMBA LIVE KUPITIA SIMU YAKO BOFYA LINK HII[emoji117][emoji117][emoji117]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…