Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
😂😂 Nimekuja Mtani.
Karibu Mtani, sherehe ya kuifunga Yanga isingefana kama nisipokuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Nimekuja Mtani.
Nakazia Mkuu. 💪💪💪Young Africans 3 - 1 Simba Sc (Mikia)
Hahahahaaa. Nilijua tu na ndio sababu sikuwa nataka kuandika hii sentensi najua lazima mtasema nimeogopa. 😂😂😂😂Usiseme hauko upo,
Umepima maji umeyaona yana kina kirefu sio rafiki kwako.
Nitakuwepo leo Mtani.Karibu Mtani, sherehe ya kuifunga Yanga isingefana kama nisipokuona.
🙏🙏🙏Pole Mtani, Nashukuru Allah Niko Poa.
Wastani wenu wa kufunga goli kila mechi ni Goal 1 tu.Young Africans 3 - 1 Simba Sc (Mikia)
Hii game ya leo bana inapresha kwa kila mtu Mtani hata sijui kwa nini inakuwaga hivi yaani si kwa anayekwenda Uwanjani hadi kwa aliyeko nyumbani anakuwa na presha vivyo hivyo. 😂😂Sina Hakika Na Hili Japo Kiroho Kinadunda Acha Tu.
Ila Nisijimalize.
Na tukiwakosa kosa basi mjiandae kwa hilo hilo moja Mtani.Wastani wenu wa kufunga goli kila mechi ni Goal 1 tu.
Aah wappi.
Mmeleta mvua lakini wala hatujali. Kipiggo kipppo ppalllepppaallleee.
Tusubiri tuone Mtani.Mpaka sasa Simba anaongoza 2-0.
Na yanga Wana Kadi nyekundu.ndo kwanza kipindi Cha kwanza