kwa uongozi huo na kamati iliyokua inahusika na mchakato ulitegemea maamuzi yawe tofauti???, Yondani na Twite pamoja na kwamba viongozi wa Yanga walifanya uhuni lakini TFF imewaidhinisha kuwa wachezaji halali wa Yanga.Hivi suala la usajili wa Twite na Yondani limeishaje??
kwa uongozi huo na kamati iliyokua inahusika na mchakato ulitegemea maamuzi yawe tofauti???, Yondani na Twite pamoja na kwamba viongozi wa Yanga walifanya uhuni lakini TFF imewaidhinisha kuwa wachezaji halali wa Yanga.
Source: SpotBar-Clouds TV
Leo tafuna hao wajelajela..chama YANGA.
Habari zilizonifikia sasa ni kwamba YM amemtimua kocha S'field kwa kisingizio kuwa "alitoa siri za klabu kwenye media" kuwa wachezaji Yanga walilala kwa kukumbatiana kule Mbeya. Lakini wachunguzi wa mambo wanadai ni kutokana na matokeo mabaya ya mechi mbili za ligi (sio za kirafiki)
Full Time
Yanga 4-1 JKT Ruvu