Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi suala la usajili wa Twite na Yondani limeishaje??
kwa uongozi huo na kamati iliyokua inahusika na mchakato ulitegemea maamuzi yawe tofauti???, Yondani na Twite pamoja na kwamba viongozi wa Yanga walifanya uhuni lakini TFF imewaidhinisha kuwa wachezaji halali wa Yanga.
Source: SpotBar-Clouds TV
 
Kauli yako ni dua la kuku.
 
Bahanuzi na Niyonzima wameenda wapi kwani!!!!, hata kagoli kama kameshindikana!!! du!! kweli kandambili ni kandambili tu.
 
Hakuna timu isiyo pata matokeo ya sare, kufungwa na kushinda. Lipi la ajabu YANGA ku draw?
 
.......ukuta wa Berlin naona una matobo mawili tayari utazibwa lini???
 
Habari zilizonifikia sasa ni kwamba YM amemtimua kocha S'field kwa kisingizio kuwa "alitoa siri za klabu kwenye media" kuwa wachezaji Yanga walilala kwa kukumbatiana kule Mbeya. Lakini wachunguzi wa mambo wanadai ni kutokana na matokeo mabaya ya mechi mbili za ligi (sio za kirafiki)
 
ndio yanga hiyo na timu zote za kibongobongo..
 
Kocha kijana, mzawa ameiongoza mtibwa kufunga chaka la kujifichia mafisadi.
2.jpg
 
Hongera yanga kwa cleansheet kwan hadi ss hatujafunga goli hata 1
 
Back
Top Bottom