Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakati ndio utaamua Shadeeya. Muda si mrefu wanaocheka watanuna. Ninavyowajua Wananchi yale mahaba kwa Kaze yatapotea na yatafuatia matusi na kashfa🀣🀣🀣🀣

#Churafcsiowavumilivukwamakocha
Yees!! Tuamini katika wakati Ses kwani pia haiwezi kuwa ajabu aliyenuna sasa akaendelea kununa mpaka mwisho wa msimu. Teh teh.
 
Hizo habari za Mr Senzo Mbatha yupo osterbay kakamatwa ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…