Chama atakuwa alihujumu kama Hanspope ambavyo huwa anaamini[emoji16]Wenzetu kule wamepata sare kwa mbinde.
Shem safari hii sijui watasema wamehujumiwa na nani? πππWenzetu kule wamepata sare kwa mbinde.
Mbona kwenye mechi yenu na African Lyon inaonekana kama vile mlicheza na refa kama kawaida yenuπ€ͺShem safari hii sijui watasema wamehujumiwa na nani? πππ
Hii kuonekana itakuwa mmeona nyie wachambuzi u c h w a r r a tu. πMbona kwenye mechi yenu na African Lyon inaonekana kama vile mlicheza na refa kama kawaida yenuπ€ͺ
Na wachambuzi hua tunaona kwelikweliπππHii kuonekana itakuwa mmeona nyie wachambuzi tu. π
Muone na ile siku mtakayobugizwa nyingi huko Nigeria. πNa wachambuzi hua tunaona kwelikweliπππ
Dah! Dua la kuku hilo ujue Shadeeya.Muone na ile siku mtakayobugizwa nyingi huko Nigeria. π
Mkono huo kwiiiio. ππDah! Dua la kuku hilo ujue Shadeeya.
Nashangaa hamtuungi mkono wakati tunatetea nchi ili baadae nyie mtakao kua washindi wa tatu kwenye ligi mpate angalau nafasi kushiriki michuano ya CAF?
Watetezi wenyewe kila siku mnasingizia hujuma. Teh teh.Nashangaa hamtuungi mkono wakati tunatetea nchi ili baadae nyie mtakao kua washindi wa tatu kwenye ligi mpate angalau nafasi kushiriki michuano ya CAF?
Hamna timu mle, kelele tu hao...mara biriani sijui nini.Shem safari hii sijui watasema wamehujumiwa na nani? πππ
Tunawajua hao wapiga kelele tu, timu hamna mle.Chama atakuwa alihujumu kama Hanspope ambavyo huwa anaamini
Usiyempenda kaja, na Said pale.
Hamuwezi kuwa mabingwa kwa hujuma dhidi yetu. Ushindi upo uwanjani na si vinginevyoWatetezi wenyewe kila siku mnasingizia hujuma. Teh teh.
Hakuna wa kuwahujumu semeni tu mmeshaona hamna matumaini ya hiyo mnayoita kuchukua miaka kumi mfululizo hivyo mnatafuta sababu ili kuwafariji mashabiki wenu ambao mlishawadumaza na kuwaaminisha kitu ambacho hakiwezekani.Hamuwezi kuwa mabingwa kwa hujuma dhidi yetu. Ushindi upo uwanjani na si vinginevyo
Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuoneHakuna wa kuwahujumu semeni tu mmeshaona hamna matumaini ya hiyo mnayoita kuchukua miaka kumi mfululizo hivyo mnatafuta sababu ili kuwafariji mashabiki wenu ambao mlishawadumaza na kuwaaminisha kitu ambacho hakiwezekani.