Nakazia ako kamstari ka mwisho.Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Acheni kuongozwa kwa hisia, Wakati Leicester city anachukua ubingwa Epl timu kubwa zilikua zinasema hivyo hivyo kua aah watadondosha point, mara upepo utakata.Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Au unataka tupinge? Usithutu Shadeeya, utachana buure mkeka wako😀😀😀Nakazia ako kamstari ka mwisho.
Tusubirie na tuone.
Simba kupoteza mechi dhidi ya Prisons na Ruvu Shooting ilikua ni uzembe na wala sio kuzidiwa uwezo. Nadhani nakubaliana na Hans Pope kukikua na tatizo. Kuanzia sasa angalia utaona mwenyeweAcheni kuongozwa kwa hisia, Wakati Leicester city anachukua ubingwa Epl timu kubwa zilikua zinasema hivyo hivyo kua aah watadondosha point, mara upepo utakata.
Kwa hiyo hizo point watakua wanadondosha Yanga tu ila simba hawadondoshi? (Naomba unijibu bila ushabiki, jibu kama mwanamichezo)
Sijaongelea mechi zilizopita,, soma vizuri utanielewaSimba kupoteza mechi dhidi ya Prisons na Ruvu Shooting ilikua ni uzembe na wala sio kuzidiwa uwezo. Nadhani nakubaliana na Hans Pope kukikua na tatizo. Kuanzia sasa angalia utaona mwenyewe
Msingi wa hoja na swali lako ni kwamba kwani Simba haitapoteza mechi ni zake!? Nikasema mechi mbili ilizopoteza dhidi ya hizo timu nilizozitaja ilikuaSijaongelea mechi zilizopita,, soma vizuri utanielewa
Unaezakuta jamaa kosa lake alikua anapewa miamala hafikishi ndio timu ikawa inashinda kwa mbinde! Sasa mnashikana uchawi wenyewe kwa wenyewe, poleni sana
Wakongomani wanasema "Napolesha" sana nyinyi🤣🤣🤣
Ok sawa ila hapo umenijibu kishabiki ,,.hakuna timu yoyote duniani yenye guarantee ya kupata matokeo ya point 3 kwa 100%.. Naamini hata moyoni mwako huo ukweli unaujua.Msingi wa hoja na swali lako ni kwamba kwani Simba haitapoteza mechi ni zake!? Nikasema mechi mbili ilizopoteza dhidi ya hizo timu nilizozitaja ilikua
Nilikuelewa na ndio nikakujibu kwamba Simba haitadondosha tena point maana ile mara ya kwanza ilikua ni uzembe na nikakwambia kwa maneno ya Hans Pope kikosi cha Lunyasi hakipaswi kupoteza mechi/point na ndio itakavyokua
Hii habari imenipita kabisa, Huyu wakili kazingua wapi? why mmemtimua?
safari ni ndefu hii, hakuna mtu anaeweza kusema au kujihakikishia kwamba yeye atakua bingwa kwasasa, bado sanaHakuna wa kuwahujumu semeni tu mmeshaona hamna matumaini ya hiyo mnayoita kuchukua miaka kumi mfululizo hivyo mnatafuta sababu ili kuwafariji mashabiki wenu ambao mlishawadumaza na kuwaaminisha kitu ambacho hakiwezekani.
Kuna shutuma anazoshutumiwa za uvujishaji siri za klabu dhidi yake na uongozi hivyo wameona wamuweke pembeni kidogo ili kuutafuta ukweli.Hii habari imenipita kabisa, Huyu wakili kazingua wapi? why mmemtimua?
Jamaa wewe ndio mshabiki wa mpira kweli, safi sana... Kwa kua mkweli na muwazi.safari ni ndefu hii, hakuna mtu anaeweza kusema au kujihakikishia kwamba yeye atakua bingwa kwasasa, bado sana
Kipindi sisi tunadondosha nyinyi amdondoshi sio!jiulize hizo point mlizozidondosha ilikuaje hadi sasa hivi mnajinasibu amdondoshi tena!au kwenye pitch mnacheza peke yenu?Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Huyo jamaa anajibu kirahisi sana utasema ameongea na Mungu, akahakikishiwa kile anachokiandikaKipindi sisi tunadondosha nyinyi amdondoshi sio!jiulize hizo point mlizozidondosha ilikuaje hadi sasa hivi mnajinasibu amdondoshi tena!au kwenye pitch mnacheza peke yenu?
Haha!Huyo jamaa anajibu kirahisi sana utasema ameongea na Mungu, akahakikishiwa kile anachokiandika