Ni kesho au Jumapili?Kesho Timu ya Wananchi tuna jambo letu kwa Mkapa.
16:00Hrs dhidi ya JKT Tanzania.
Kesho....Ni kesho au Jumapili?
Tukipata straika mtupiaji tunawagonga kuanzia 3Round ya pili Mikia FC tunawagonga!
Na kipondo hicho kitamngoa Kishingo...Tukipata straika mtupiaji tunawagonga kuanzia 3
Hapa nahisi ulimaanisha wakipata mganga mzuri kuliko mganga wao.Tukipata straika mtupiaji tunawagonga kuanzia 3
[emoji23][emoji23][emoji23] et Tunguri Vs Tunguri aiseeHapa nahisi ulimaanisha wakipata mganga mzuri kuliko mganga wao.
Yanga na simba ni tunguri vs tunguri
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli wewe mjingaKila la kheri jkt ruvu
Kweli wewe mjinga
Kapost kwenye uzi wa JKT RUV.Kila la kheri jkt ruvu
Kapost kwenye uzi wa JKT RUV.