Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201127_105725.jpg
 
yangasc_2-___CIGHc5-nr9B___-.jpg



kikao cha kupitia ripoti ya mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu yetu ya YANGA yanayofanyika katika makao makuu ya LA LIGA mjini MADRID nchini HISPANIA .


Kikao hicho kimehudhuriwa na ; Eng . Hersi A. Said ( Meneja mradi - transformation project )


Marco De Santis ( LaLiga Project Manager - Africa ) .


Juan Botella ( LaLiga Regional Manager - Africa )


Alvaro Paya ( LaLiga Delegate in Tanzania & Rwanda )
 
Back
Top Bottom