yani wanaftna za kishamba sanaIla wale jamaa si watu wazuri bana yaani walifanya tukarudi enzi za zamani kuanza kusikiliza mpira redioni. Lol.
Tulia hivyo hivyo, safari hii utasema tena tuna habatisha sio? Manake anafuata Platinum baada ya huyu mnaijeria, njia nyeupe Hadi robo finali hiyoMlibahatisha tu safari ile haiwezi jirudia hiyo kila mmoja ataenda kwenye hiyo michuano kwa nguvu zake Ntani na sio kwa kubebwa na Ntu. Teh.
Achana na Wadaawa, hawana jipya maana fcc imeishawavuruga kwa kuwaramba spanaWatuliage tu hawa. Na hawapaswi kujipa sifa wanazojipa sasa.
Ni maoni yakoNimesikia Yanga wameanzisha mikakati kabambe ya kuchukuwa taji la ligi kuu mwaka huu hasa baada ya kujikusanyia idadi ya points zilizojenga ufa mkubwa waliokuwa kileleni Azam, Hata hivyo kimesabu Yanga wanawazidi Simba point 2 tu kama Simba watashinda michezo yote ya kiporo!
Pia Yanga kama mwenendo wake wa uchezaji utaendelea hivihivi hjilo kombe kwa mwaka huu walisahau!
Ukifuatilia karibu mechi 3 zote walizocheza Yanga hapa karibuni ambazo ni kati yake na SIMBA, AZAM na JKT Tanzania, Utaona Yanga ni timu ya kipindi kimoja tu cha kwanza lakini wakirudi kipindi cha pili wanapwaya na kadri kocha Kaze anavyofanya Sub ndivyo timu inavyopwaya zaidi, ni kutokana na dosari hii ndio iliwagharimu Yanga kati mechi ya Simba na kufanya Simba wawahenyeshe vibaya kipindi cha pili hata kupelekea manusura ya kichapo!
Hali hiyo ilijirudia katika mechi ya Azam sema tu kitendo cha kutowepo mshambuliaji wa Azam Price Dube ndiko kuliwaokoa Yanga mechi ile sababu foward ya Azam ilikosa mmaliziaji makini.
Hali hii ya Yanga kuzidiwa kipindi cha pili ilijitokeza tena katika mechi yake JKT Tanzani ambapo pamoja na ushindi ule kiduchu lakini timu ilihenyeshwa sana kipindi cha pili sema tu JKT hawakuwa makini na nafasi nyingi za kufunga walizotengeneza.
Hivyo kama kocha hatafanyia kazi mapungufu hayo Yanga wajue wana sindikiza tu!
😀😀yani wanaftna za kishamba sana
Aaah wapppiiii.Tulia hivyo hivyo, safari hii utasema tena tuna habatisha sio? Manake anafuata Platinum baada ya huyu mnaijeria, njia nyeupe Hadi robo finali hiyo
Mkibebwa kunjeni miguu
Yatawakuta kama ya Deo Kanda kwa Simba. Limebaki jina tu lakini Said sio kama yule aliyekua akivuma enzi zake. Kwanza angekua ni yuke msingempata. Sasa hivi anatafuta mahali pa kustaafia. Uzuri wa bahati amepata timu ya WananchiSijajua bado japo naona jana ametua rasmi kwa Wananchi.View attachment 1640601
Hatua kubwa hii!View attachment 1640575
Hafla ya ukabidhiwaji wa rasimu ya awali ya mabadiliko ya uwendeshwaji wa klabu ya Yanga umefanyika jana na kukabidhiwa na mwenyekiti wa kamati ya mabadiliko WAKILI ALEX MGONGOLWA akiambatana na meneja mradi huo ambaye pia ni MKURUGENZI wa Uwekezaji kutoka kampuni GSM Eng Hersi Said ambao ni WADHAMINI wa gharama za mradi huo.
Rasimu hiyo imepokelewa na Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla akiambatana na wajumbe wa kamati ya utendaji, mjumbe wa baraza la wadhamini na wazee wa klabu yetu. Hakika leo ni siku ya KIHISTORIA katika maendeleo endelevu ya klabu yetu!
#daimambelenyumamwiko
#timuyawananchi
Hakika daima mbele nyuma mwiko!Baada ya ya Timu ya Wananchi kutangaza rasmi Zabuni ya Ujenzi wa Hostel na Uwanja wa Mazoezi wa Klahu huko Kigamboni
View attachment 1640580
Wakandarasi walioomba Zabuni hiyo kutoka makampuni zaidi ya 10 wakiwa kwenye uwanja wa klabu yetu ya Yanga Kigamboni, walivyotembelea na kujionea hali halisi kimazingira tayari kwa utekelezaji wa ujenzi wa uwanja wa mazoezi pamoja na hostel za wachezaji mara tu mshindi wa tenda atakapotangazwa.
#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Waoga sana hawa!Duuh!!
Jumamosi inakaribia rafiki. Nasikia mnasema tusiende Uwanjani eti? [emoji23][emoji23][emoji23]
Saa viingilio vya kwetu mnatuzuwiaje eti? [emoji23][emoji23][emoji23] Hebu tuwacheni tukawashingile Plateau.