Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sijui kwa nini nikionaga Haruna yupo kikosini huwa ninapata matumaini sana
 
Yatawakuta kama ya Deo Kanda kwa Simba. Limebaki jina tu lakini Said sio kama yule aliyekua akivuma enzi zake. Kwanza angekua ni yuke msingempata. Sasa hivi anatafuta mahali pa kustaafia. Uzuri wa bahati amepata timu ya Wananchi
Kwani Deo kanda ninyi mlipata akiwa mbovu. Mbona jamaa alikuwa hatari ila labda majeruhi ndiyo yalimuharibia?
 
Mwenyekiti wa klabu yetu Dkt. Mshindo Msolla na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji leo wameshiriki katika semina ya kuwajengea ufahamu juu ya ripoti ya mabadiliko katika hatua hii ya awali.

#daimambelenyumamwiko
#timuyawananchi
 
Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…