Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nasikia uto wameua mtu huko...
Bonge ya magoli ya kideoni...
😀😀😀😀
 
Mbn una hasira hv kwn mm ndiyo nimesababisha Yanga isifungwe? Unanionea mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?

Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto
Ni kwamba timu mwenyeji lazima aangalie jinsi ya kuongeza mapato, ukipeleka mechi yako Mwanza au Arusha, wanakuwa na hamu ya kuiona timu fulani kama ulivyoona kwa YANGA, watazamaji watakuwa wengi. Kwa hiyo unatumia nafasi hiyo kujiongezea mapato. Na kama sheria inaruhusu basi ni Safi kabisa.
 
Ndio wanaruhusu kuchagua. Hii imechangiwa sana na ubovu wa viwanja hasa vya mikoani. Ukifunguwa unachagua pa kucheza.

Uongozi pia ujitahidi mechi zingine ipeleke Mwanza na Mbeya kuongeza mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…