Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshamsahau kalinyoSaido ntibazokiza[emoji39][emoji39]
Asante kwa kutukumbusha wapo wengi mpka tuna sahauMmeshamsahau kalinyo
Uto bhana
Ha ha haSaid ntibanzonkiza.... Ukishindwa wewe ita tu ANTIBAYOTIKI
Unataka acheze akiwa majeruhi?mechi 4 goli mbili assist mbili, Andunje kila game yumo anazidiwa goli hata na beki Lamine MoroMmeshamsahau kalinyo
Uto bhana
Mbn una hasira hv kwn mm ndiyo nimesababisha Yanga isifungwe? Unanionea mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA
Yanga achana nayo mkuu utajiumiza bure [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Vp furaha za kimataifa? Au ndio wa hapa hapa?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Umehamia huku siku hizi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Said ntibanzonkiza.... Ukishindwa wewe ita tu ANTIBAYOTIKI
Ni kwamba timu mwenyeji lazima aangalie jinsi ya kuongeza mapato, ukipeleka mechi yako Mwanza au Arusha, wanakuwa na hamu ya kuiona timu fulani kama ulivyoona kwa YANGA, watazamaji watakuwa wengi. Kwa hiyo unatumia nafasi hiyo kujiongezea mapato. Na kama sheria inaruhusu basi ni Safi kabisa.Hivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?
Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto
Ndio wanaruhusu kuchagua. Hii imechangiwa sana na ubovu wa viwanja hasa vya mikoani. Ukifunguwa unachagua pa kucheza.Ni kwamba timu mwenyeji lazima aangalie jinsi ya kuongeza mapato, ukipeleka mechi yako Mwanza au Arusha, wanakuwa na hamu ya kuiona timu fulani kama ulivyoona kwa YANGA, watazamaji watakuwa wengi. Kwa hiyo unatumia nafasi hiyo kujiongezea mapato. Na kama sheria inaruhusu basi ni Safi kabisa.
Saido ntibazokiza[emoji39][emoji39]
Said ntibanzonkiza.... Ukishindwa wewe ita tu ANTIBAYOTIKI
Ila nilifurahi sana Mtani nadhani ndio tumeshaanza kubadili gia angani.Shadeeya na financial services, siyo kwa cheko hilo mlilonalo muda huu, khaaa!
hatimae kwa mara ya kwanza.