Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA
Mbn una hasira hv kwn mm ndiyo nimesababisha Yanga isifungwe? Unanionea mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?

Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto
Ni kwamba timu mwenyeji lazima aangalie jinsi ya kuongeza mapato, ukipeleka mechi yako Mwanza au Arusha, wanakuwa na hamu ya kuiona timu fulani kama ulivyoona kwa YANGA, watazamaji watakuwa wengi. Kwa hiyo unatumia nafasi hiyo kujiongezea mapato. Na kama sheria inaruhusu basi ni Safi kabisa.
 
Ndio wanaruhusu kuchagua. Hii imechangiwa sana na ubovu wa viwanja hasa vya mikoani. Ukifunguwa unachagua pa kucheza.

Uongozi pia ujitahidi mechi zingine ipeleke Mwanza na Mbeya kuongeza mapato
 
20201217_133424.jpg
 
Back
Top Bottom