Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Anajiweka sawa
Screenshot_20201230-142603.jpg
 
Mkuu mie ni wa mwanzo kabisa vilipotoka tu nikajitwalia.

Hapa nina mpango wa kwenda nacho Uwanjani kwenye derby ijayo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Cc. aminas. [emoji85]
Ahahaha naomba nikulipie Siti ya V. I. P. tukammalize matani maana alitokea kwenye tundu ya sindano
 
Back
Top Bottom