Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mazoezi ya mwisho kwa Timu ya Wananchi kabla ya kuwakabili Tanzania Prisons, siku ya leo ndani ya uwanja wa Nelson Mandela hapo 16:00Hrs.
20201231_075900.jpg
 
1609415526649.png

NAUFUNGA MWAKA 2020 NA YANGA ROYAL FANS

Karibu nikupe utamu ndani ya Dar es salaam, cal me Kijanamtashati D7 Dimbani.

Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Makundi mbalimbali na magropu ya WhatsApp zikizisapot Klabu zao na kwenda mbali zaidi kujinasibu kwa Mambo mbalimbali wayafanyayo ila hapa Karibu nikupe uhondo.

Kwanza nakuuliza swali, Unawajua Yanga Royal fans @yangaroyalfans

Hawa jamaa sio utani Wana balaa sana... Ni Yanga kwelikweli hawatanii kabisa.

Hadhi yao ya juu sana, Yanga SC ilipo na wao wapo, sio wakubaki nyuma hata kidogo.

Angalia haya Kisha nikuulize swali, umeelewaa?

Kwanza jambo lao la kwanza wanapoenda uwanjani ni lazima wawe na Escort huku timu ikitangulia

Pili, wawapo uwanjani ni lazima wakae sehemu ambayo haina makelele yaani wenyewe wanakwambia wanakaa ki Royal zaidi 😆 usichekee

Na la zaidi ambalo ni tamu Zaidi ni pale wanapomua kushirikiana na Uongozi wa Klabu ili kuakikisha timu inapata matokeo chanya kwa kila mchezo

Je haya ulikuwa unayajuaa?

Wacha nikupe na hili la mwisho kabisa... Klabu ya @yangasc ndo timu pekee ambayo yenye mfumo wa Royal fans ambao wanawapa Priorites mashabiki wake kukaa jukwaani kihadhi zaidi.

..... ✍️ Royal fans ipo chini ya Mlezi wa Group Mr Eliakim Maswi, yeye ndiye Mlezi na ni mtu makini zaidi,, Gonga 👊🏻
 
Back
Top Bottom