Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀Tiketi ipo tayari, relax kabisaaa🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Tiketi ipo tayari, relax kabisaaa🤪
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] heshima yako mkuu, na'ahsante kwa taarifaTEAM 666 polepole shehe wangu, huyo hauzwi kwenye dirisha dogo wala kubwa wala hatolewi kwa mkopo[emoji3][emoji3][emoji3]
🙏🙏🙏😀😀😀[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] heshima yako mkuu na'ahsante kwa taarifa
Kila la kheri Tanzania Prisons, piga virungu hao kina Shadeeya.Kikosi cha Timu ya Wananchi kimewasili salama Sumbawanga tayari maandalizi ya mechi yetu ya kesho dhidi ya Tanzania Prisons.
@Yangasc
View attachment 1663004
Kakiwa fit huwa kanapiga kiungo hatari sana! Naona kamepewa masharti ya kuongeza kifua kidogo siyo kanapitiwa na upepo wa Mzee wa Mnyero FC kanaanguka!Haka ka Hb Cha kireno kamekuja kwajili yakuidrand timu tu
Hebu acha kutuchawia weeweeeee. 😀Kila la kheri Tanzania Prisons, piga virungu hao kina Shadeeya.
prisons nguvu moja
Ila umeadimika Mtani nini mbaya eti?Kila la kheri Tanzania Prisons, piga virungu hao kina Shadeeya.
prisons nguvu moja
Hawa jamaa walikushikisha adabu kama unakumbuka Mtani lakini kwa Timu ya Wananchi wanakaa mapemaa.Kila la kheri Tanzania Prisons, piga virungu hao kina Shadeeya.
prisons nguvu moja