Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukumbuke tu kuwa hiyo michezo yako mitatu ni dhidi ya Namungo, Azam na Dodoma jiji ambao tayari Yanga wameshamalizana nao raundi ya kwanza.Tunakumbushana tu.
Simba ana michezo 3 mkononi.
Na ana point 35.
Madera fc point 44.
Na ukumbuke tuu ivyo viporo vimefutwa Simba itaendelea na ratiba nyingine za mechi izo za viporo tutakua hatua ya makundiUkumbuke tu kuwa hiyo michezo yako mitatu ni dhidi ya Namungo, Azam na Dodoma jiji ambao tayari Yanga wameshamalizana nao raundi ya kwanza.
Maana ya kufutwa ni kwamba hawatocheza tena na hizo timuNa ukumbuke tuu ivyo viporo vimefutwa Simba itaendelea na ratiba nyingine za mechi izo za viporo tutakua hatua ya makundi
Vimepelekwa mbele hazitocheza katika mda uliotegemewaMaana ya kufutwa ni kwamba hawatocheza tena na hizo timu
Ukumbuke tu kuwa hiyo michezo yako mitatu ni dhidi ya Namungo, Azam na Dodoma jiji ambao tayari Yanga wameshamalizana nao raundi ya kwanza.
Hii ni ligi inatakiwa mwenzio anapoteza point mbili au tatu basi wewe utumie nafasi hiyo kupata matokeo ili ukae kileleni mwa msimamo.Haijalishi.
Hata tukifungwa.lakini tuna michezo 3
Simba atatumia matokeo hayo ya yanga kutoa sare kupanda kileleniHii ni ligi inatakiwa mwenzio anapoteza point mbili au tatu basi wewe utumie nafasi hiyo kupata matokeo ili ukae kileleni mwa msimamo.
Sawa kila la kheriSimba atatumia matokeo hayo ya yanga kutoa sare kupanda kileleni
Unahesabu mechi hujaicheza?Tunakumbushana tu.
Simba ana michezo 3 mkononi.
Na ana point 35.
Madera fc point 44.
Mambo flani yamebana ila nitarudi tu kama zamani Shadeeya. 👊Ila umeadimika Mtani nini mbaya eti
Bahati yenu leo chupu chupu mlazwe Rumande.Hebu acha kutuchawia weeweeeee. 😀
Hawa jamaa walikushikisha adabu kama unakumbuka Mtani lakini kwa Timu ya Wananchi wanakaa mapemaa.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"