Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unateseka ukiwa wapi ?
 
Tusifadhaike,hii sare ya Leo imeonyesha ni namna gani Yanga hii iko imara. Timu imeimarika sanaaa!! Ina ari ya juu sanaaaa. Simba bila kubebwa kama walivyosaidiwa dhidi ya KMC hata sasa wasingekuwa na uwezo Wa kufunua midomo yao.

Naamini kwa ubora Wa hii timu tunakwenda kutwaa ubingwa msimu huu!
 
Wewe umejuaje Ki tendo alichofanya kaseke alikua anasaka ushirikina?

Nikikwambia alikua anatafuta msumari utapinga?

Wewe ni mchawi Kama wachawi wengine.
Basi sawa,alipoukosa huo msumari akaenda kuutafuta kwenye taulo la golikipa kwa kulikung'uta kama anataka kuona nini kitaanguka!
Ushamba huo!
 
Basi sawa,alipoukosa huo msumari akaenda kuutafuta kwenye taulo la golikipa kwa kulikung'uta kama anataka kuona nini kitaanguka!
Ushamba huo!
Kwahiyo kukung'uta taulo ni ushamba...

Kwanini unateseka kwa Pilipili usiyoila?

Do ur part in ur mikia fc team then it can be done sawa wazee wa "sisi tutakua mabingwa mara 4 mfululizo".
 
Mhhh! Utopolo buannna
 
Kwahiyo kukung'uta taulo ni ushamba...

Kwanini unateseka kwa Pilipili usiyoila?

Do ur part in ur mikia fc team then it can be done sawa wazee wa "sisi tutakua mabingwa mara 4 mfululizo".
Ninyi bora muendelee kubaki hapa hapa nchini maana mkienda kimataifa mtaenda kuitia aibu nchi!
 
Kwani yanga dhidi ya kmc haikubebwa? Penati fake mlipewa. Dhidi ya gwambina mlipigwa goli halali likakataliwa, dhidi ya simba faulo nje 18 mkapewa penati. Ni kujidanganya kuwa mechi zote yanga imeshinda au kudraw kwa haki.

Ubingwa labda muibe kombe.
 
Unateseka ukiwa maeneo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…