Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Man of the Match (Onyango- Simba

Golikipa bora (SHIKALO- Yanga

Mfungaji bora (Miraji Sheva- Simba

Mchezaji bora (Kahata- Simba
 
Hata kombe la mapinduzi limepiganiwa na watu wasiozidi 20, lakini wananchi wengi wanajivunia na wamelivalia jezi mtaani leo (na pengine wiki hii yote hawatazifua hawatazivua)
Ila iko tofauti sana hiyo Mtani.

Huku kwenye jezi tuwache na jezi zetu hebu. πŸ˜…πŸ˜… Mi mwenyewe nimepanga kila nikirudi home jioni basi natinga jezi ya Wananchi mpaka hii wiki iishe aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…