Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, endelea, mchezaji bora wa mechi ya fainali, mchezaji bora wa mashindano, na mfungaji bora wa mashindanoFarouk Shikalo Golikipa Bora anachezea Timu ya Wananchi.
Nimerudi Mtani.
Ahsante. Wanasema nyota njema huonekana asubuhi Mtani hivyo huu ni mwanzo tu.
Ila jana game ilimtokea sanaa.Onyangooo ! Ndo mmejua kama ni babu ama kijana
Sarpong bwana, hivi Yanga mlimtoa wapi huyu? 😁😁😁
Man of the Match (Onyango- SimbaMwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Shauri yako Mtani.Hizo methali hazifanyi kazi kwenye mpira.
Sasa inasaidia nini Mtani ikiwa ndoo hamjachukua. 😎😎😎😎Okay, endelea, mchezaji bora wa mechi ya fainali, mchezaji bora wa mashindano, na mfungaji bora wa mashindano
Man of the Match (Onyango- Simba
Golikipa bora (SHIKALO- Yanga
Mfungaji bora (Miraji Sheva- Simba
Mchezaji bora (Kahata- Simba
Huyu saa ingine namuona kama Yikpe aliyechangamka. Teh.Sarpong bwana, hivi Yanga mlimtoa wapi huyu? 😁😁😁
Duuh!! Nimecheka kwa nguvu.Aisee! Hongera kwao, naona Simba wametawala tuzo
Tuzo ni motisha kwa wachezaji wanaozitwaa, na huonyesha jinsi wadau wanavyoutambua ubora wakoSasa inasaidia nini Mtani ikiwa ndoo hamjachukua. 😎😎😎😎
Saawa. Vp lakini huoni kama imekaa kibinafsi sana au na wewe unajivunia pia?Tuzo ni motisha kwa wachezaji wanaozitwaa, na huonyesha jinsi wadau wanavyoutambua ubora wako
Shauri yako Mtani.
Vp lakini mzima?
Kila la kheri Mtani katika kuokota mipira nyavuni. 😎Uzima upo Mtani.
Baada ya kombe hili kuyeyuka, nguvu na akili tunaielekeza kwenye makundi ya Champions League.
Hata kombe la mapinduzi limepiganiwa na watu wasiozidi 20, lakini wananchi wengi wanajivunia na wamelivalia jezi mtaani leo (na pengine wiki hii yoteSaawa. Vp lakini huoni kama imekaa kibinafsi sana au na wewe unajivunia pia?
Kila la kheri Mtani katika kuokota mipira nyavuni. 😎
Ila iko tofauti sana hiyo Mtani.Hata kombe la mapinduzi limepiganiwa na watu wasiozidi 20, lakini wananchi wengi wanajivunia na wamelivalia jezi mtaani leo (na pengine wiki hii yotehawatazifuahawatazivua)
Hahahaaa. Haya bana Mtani.Hahaha, tutaokota na wao wataokota.