Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Simba bila nyau mweusi uwanjani, ni sawa Ihefu B

Yanga bingwa

Kombe la kwanza kabatini, makombe 2 yaliyobaki loading...
 
Anamzidi Ykipe kwenye kukaba na kupocess mpira.
Ila anachoniuzi ana game na game zinazomtokea.

Yaani kuna game waeza sema ehee hapa tuna mchezaji ila game zingine bana waeza kasirika namna anavyocheza.
 
Hiyo ndo timu tutayopiga home and away, AS Vita draw kwao kwetu tunawanyoosha.

Al Ahly mpira ni mpaka uishe, sina matokeo mfukoni.
Hili likitokea naenda kukojoa kwenye kaunta ya kituo kikuu cha Polisi hapa SHY! 😀😀
 
Hili likitokea naenda kukojoa kwenye kaunta ya kituo kikuu cha Polisi hapa SHY! 😀😀

Kuna washabiki kibao wa Yanga walisema Simba ikimtoa Platnum watavua, watakunya barabarani nk.

Sasa hivi tukiwakumbusha wanakataa.
 
Nani wa kuwaokotesha? Dakika 90 no shoot on target hata moja? Aibuuuuu

Tuombeane uzima ndugu, mtabadili timu mpaka mchoke.

Naamini mmeweka ratiba vizuri ya kwenda kwenda airport kupokea na kusindikiza wageni
 
Man of the Match (Onyango- Simba

Golikipa bora (SHIKALO- Yanga

Mfungaji bora (Miraji Sheva- Simba

Mchezaji bora (Kahata- Simba
Mnatakiwa mjiulize sababu ya Onyango kupewa uçhezaji Bora,Alafu huyo mfungaji bora kwa Nini hakumfunga Yanga na kahata ubora wake siku ya mechi ya Yanga ilikuwa wapi?
 
Hiyo ndo timu tutayopiga home and away, AS Vita draw kwao kwetu tunawanyoosha.

Al Ahly mpira ni mpaka uishe, sina matokeo mfukoni.
Bado hujaacha dharau zako mtani? Jitahidi uwe na neno la akiba bt Ngoja tusubiri tuone muda utasema
 
Unatakiwa utafakari na kujiuliza nini sababu ya Onyango kuwa Mchezaji bora wa mechi ndiyo utajua kilichokuwa kinawakuta Simba
Wachambuzi walisema kama Sio Onyango basi ingekuwa Ninja!Hii inamaanisha wote walikuwa kwenye ubora kulingana na washambuliaji kuwa hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…