Bado hujaacha dharau zako mtani? Jitahidi uwe na neno la akiba bt Ngoja tusubiri tuone muda utasema
Basi tufanye kuwa walikosea kumpa, maana mfungaji bora lazima aifunge YangaHuyo mfungaji bora si angeifunga yanga? Kuthibitisha ubora wake
Ni mahakama tu inaweza kuifunga Yanga. Hawa mastreka wanazuilika na Ninja tuHuyo mfungaji bora si angeifunga yanga? Kuthibitisha ubora wake
Kweli uko nyuma ya muda..Mnatakiwa mjiulize sababu ya Onyango kupewa uçhezaji Bora,Alafu huyo mfungaji bora kwa Nini hakumfunga Yanga na kahata ubora wake siku ya mechi ya Yanga ilikuwa wapi?
Acha kujitekenya halafu unacheka mwenyewe. Mtahangaika sana mwaka huu.GSM yashusha jembe jipya Jangwani ni Striker hatari kutoka Zamelek.View attachment 1678608
Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa
7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.
Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Wewe ni TAHIRA DAMU sio Yanga damu. Yanga hatujawahi kuwa MbumbumbuMimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa
7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.
Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Mkuu mnachekesha sana,kipindi Morrison kaja Simba mlikwa mnapanga kikosi mtandaoni,utasikia huku Morrison huku Chama huku konde boy,nao mumeanza tena.Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa
7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.
Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Uwiii kama umeniona Mtani. 😅😅Unacheka tu,
Unaona rahaaaaaaaaaa.
We unachekesha kweli ivi unaichukuliaje Yanga saiv?Mimi ni Yanga damu damu ila kwa hii Simba watatukomesha naziona Goli 7 kwa Mkapa tunakufa
7 Chilkwende, 8 Bwalya, 9 Kagere, 10 Chama, 11 Miquissone.
Tutaficha wapi sura zetu Wananchi.
Achana na MATAHIRA haya! Umesahau yameimba Sana Chamason, mikisoni, morisoni, Boccosoni ... Imeishia wapi??? Mbwa hawaWe unachekesha kweli ivi unaichukuliaje Yanga saiv?
Hii ni aibu ya kufungulia mwaka!!Hiki ndo tulimfanyia Azam mechi ya VPL No Shot on Target. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1677040
Imeishia kufuzu makundi CAF champions league. Hapo vipi? Aaaah unakerekaa shabiki maandazi mpaka unatukana.Achana na MATAHIRA haya! Umesahau yameimba Sana Chamason, mikisoni, morisoni, Boccosoni ... Imeishia wapi??? Mbwa hawa