Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Pamoja na refa kuwa kimeokoa,bado hii point moja amesababisha kocha wetu......amechelewa kufanya maamuzi mapema
 
Yasin Mustafa aliunawa ndani ya boksi hivyo Mbeya City wakapata penalti.
Haya matokeo sidhan kama yanawaumiza , lait kama Azam angekufa , hiyo pressure mngekua nayo Leo isiingelezeka hahahaha
 
Fiston hakutakiwa hata kuanza kabisa,Kaseke mechi hii ilimuhitaji tangu dk ya kwanza
Duuh
Unajua mpira sijaangalia , nimekuja shtuka dk ya 70 huko

Lakn mzee baba , bila kupewa nafasi ataingiaje kwenye timu labda kwenye mazoez kafanya vyema
 
Kocha amekosa msaidizi,nadhani Mwambusi alikuwa anamsaidia zaidi
Mwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufunga

Kingine wabongo mjifunze ku wapa sifa wapinzani wenu wanapocheza vizuri. Mbeya City wamepambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…